WholeSale Carperts From Egypt: Distrubutors Wanted.

Gluton

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
57
Reaction score
39
UPDATED...



Habari zenu wakuu,

To the point,

Well niko na muwakilishi wa kiwanda cha ma carpet kutoka Egypt anatafuta wanunuaji wa jumla wa mzigo wa high quality textile and plastic carperts at very good rates. He will be glad to have a word of negotiation/business proposal to any serious and potential person willing to trade the goods in Tanzania and Eastern Africa.

For serious business people in the related field, kindly PM me and we can arrange a meeting with him in Dar es Salaam.

Note: Mzigo upo wa kutosha hapa Dar na yupo tayari kuingia ubia na mfanyabiashara husika.

Thanks.

Text / Whatsapp: +255 625 509 929


 
Kiazio ni kiasi gani
 
Kiazio ni kiasi gani
Kiasi chochote cz mzigo upo ukitaka container zima pia tunakuuzia with links from the factory as well.

Na kama una sehemu yako ya biashara probably a busy business area tunaweza ingia makubalino tuweke mzigo wetu kwako wewe utaprovide space and from the profits utachukua a certain percent.

Karibu Sana.


 
Sehemu ya biashara ninayo na pahala palipo changamka sana, pm tuseme zaidi
 
Nimeyapenda hayo ma carpet, mkipata sehemu ya kuuzia tujulisheni tuje kununuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…