Who was Iran trying to assassinate?

swala la juyu dogo pia unalitilia mashaka?
 
very coward these american everytime iran do something it didnt actually do washngton diaper stock runout.
 

Menny Terry,

Naona bado unatumia statistic za zamani sana. Marekani ipo kwenye BIG HOLE ya kiuchumi sasa hivi. Marekani ana Debt over 14 Trillion dollars, also Budget deficit ya kila mwezi.

Kuhusu dola ya Kimarekani toka enzi 1870- umesahau kwamba Marekani siyo taifa la kwanza duniani kuwa na strong ya kiuchumi, ya kijeshi. Kumbuka Great Britain, Japan, Germany, Roman Empire nk, yote hayo yameanguka sasa hivi yamekuwa normal countries.

Dola ya Marekani haitoweza kudumu kwa muda mwingi kuwa world currency-sababu ya kwanza ni kwamba, huwezi kuprint hela za nchi yako wakati unakuwa na budget defecit. Hiyo ni basic economic principles.

Pili, kuna nchi kama China ambayo inakuwa kwa kasi sana kiasi cha kufanya nchi kubwa za Ulaya na North America kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi sasa hivi.

Solution kubwa ya Marekani ni kuanzisha vita ili matatizo ya nchi yao yasijulikane na wananchi wao, hiyo ni principle kubwa ya US foreign policy. Saa hivi kuna Wall Street protest ndani ya USA ambayo inapigania haki za walalahoi (middle class) so called class warfare. Matajiri wakubwa washaanza kuwa na hofu ya maslahi yao. Hilo ni tatizo kwa USA.

Marekani ya zamani SIYO ya sasa hivi. Marekani ya sasa hivi ipo katika kufight kusurvive na siyo growth.
 
swala la juyu dogo pia unalitilia mashaka?
Wewe unayeamini hebu lete ushahidi.
Huyu kijana unaelewa kuwa kwenye hiyo ndege aliingizwa na CIA wenyewe bila passport?.Soma kisa chote kwa makini uone.
Unajuwa kwamba huyu ni mtoto wa tajiri wa kinigeria na rafiki mkubwa wa Marekani?.
Kumbuka kwenye hiyo ndege kulikuwa na abiria raia wa Marekani ambao walipingana kiuwazi na maelezo ya tukio kutoka serikalini kiasi cha vyombo vya usalama kubabaika na kubadili maelezo kila baada ya muda mfupi.

Umar Farouk Abdulmutallab - Wikipedia, the free encyclopedia
 


Mkuu Samahani kama Nitakuwa tofauti na wewe, Tunapozungumzia kuwa china inakuwa kwa kasi kwenye uchumi nini hasa unakiangalia?
Statistics zipo hivi na China bado haijafikia hata nusu ya pato la Marekani ndani ya mwaka. angalia hapa chini

[h=1]10 : Italy[/h]
GDP : $1,801,000,000,000
[h=1]09 : Brazil[/h]
GDP : $2,030,000,000,000
[h=1]08 : France[/h]
GDP : $2,097,000,000,000
[h=1]07 : Russia[/h]
GDP : $2,225,000,000,000
[h=1]06 : United Kingdom[/h]
GDP : $2,279,000,000,000
[h=1]05 : Germany[/h]
GDP : $2,863,000,000,000
[h=1]04 : India[/h]
GDP : $3,319,000,000,000
[h=1]03 : Japan[/h]
GDP : $4,487,000,000,000
[h=1]02 : China[/h]
GDP : $7,800,000,000,000
[h=1]01 : United States[/h]
GDP : $14,580,000,000,000

Sasa tujadili ni kukua gani kwa kasi kwa china ambako kunaweza kumfikia USA kwa siku hizi za karibuni kama mapato yake kwa mwaka ni nusu ya mapato ya USA.

Source
:Top 10 Countries With The Largest Economies | Tip Top Tens
 

Sasa nilivyoandika ni kwamba China inakua kwa kasi sana uchumi wake. Sasa hapo unaona China ni ya pili, kumbuka zamani haikuwepo hapo.

Forecast za uchumi zinaonesha kwamba in 2020-30 China itakuwa the largest economy in the world. Huwezi kubisha hizo forecast kwa sababu China wana Population kubwa 5x ya USA. Sasa hapo ni basic economic principles utagundua China ndiyo itakuwa Super Power ya Kiuchumi duniani.

Sasa hivi China wana budget surplus, wakati USA wana budget defecit. Sasa hivi China wanasign mikataba kila kona ya Dunia ktk kuwahi resources. China washaikua kibiashara Africa, Latin America, some countries in Mid East.

Marekani ya zamani siyo ya sasa hivi. Marekani ya sasa hivi inafight ktk Kusurvive na SIYO growth. Ndiyo maana kuna "Occupy Wall Street" sasa hivi kila kona ya USA.
 
Apart from sacrificing blood to the devil( i presume so), america want to jump start their economy by causing a huge destruction through wars and then through reconstructions together with arm industry making huge profits, as well as curving resources spheres of influence.
 
America is the Democratic- Dictatorship country, Exercising democracy inside and Dictatorship outside!
 
America is the Democratic- Dictatorship country, Exercising democracy inside and Dictatorship outside!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…