Geza Ulole JF-Expert Member Oct 31, 2009 63,214 88,163 Nov 6, 2010 #1 jamani kama TZ ilipeleka jeshi Comoro kumuondoa mpinzani baada ya uchaguzi ulio na utata je nani wa kuindoa CCM? au nyani haoni kundule?
jamani kama TZ ilipeleka jeshi Comoro kumuondoa mpinzani baada ya uchaguzi ulio na utata je nani wa kuindoa CCM? au nyani haoni kundule?