Huyo alombeba ni mwanae wa kumzaa. Dogo aliyemuokota ni huyu aisee. Hii ndio sadaka ya kweli na ndio uchamungu wa kweli. Sadaka sio kumpelekea TB Joshua mamilioni anunue jet na uchamungu sio kukesha kwny majumba ya ibada tikihubiri kuchukiana kwa misingi ya imani. Mwenyezi ampe maisha marefu huyu mwanamke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.