Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,561
- 59,633
Mkuu unataka kusema mkewe aliamua kumuua mumewe na mwanae wa kike wa kumzaa kwa ajili ya hela?
What is your litmus test for validity?
Kobe is the hen that lays the golden eggs for his family, a loving father in the beginning of his second act, why would his wife want him dead?
[/Q
Exactly...why would I want the hen dead?...
Ukianza habari za "huwezi kujua" tunaweza kusema wewe umemuua Kobe halafu unamsingizia mke wake.Mke kumuua mume, or vice versa, ni jambo la kawaida. Kumuua mtoto sio jambo la kawaida but it is possible still.
Huwezi kujua labda mtota hakuwa katika safari ile, akaenda last minutes wakati mama hakuwa katika position ya kumzuia asiende.
Ila siungi mkono speculations hizi, ila tu nimetoa scenario ambayo inawezekana
Exactly...why would I want the hen dead?.
You left me at "do you really thinks..."Do you really thinks that things cannot happen before they make sense with you first?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Just the facts please.
Opinions are like asses, everyone has one.
Sent using Jamii Forums mobile app
Where do you even get that idea? What justifies that question from you? Did I write anything to that effect? If so, where?Do u think things must make sense with you before they happen?
I mean do you think in order for anything to happen, it must first make sense with you before it happens?
A wife that is his High School Sweetheart..Why do you think a wife killing her doting, money making, famous husband that she just had a fourth baby with is common sense?
As if that is not enough, that same wife kills her own daughter too.
Is that common sense?
A wife that is his High School Sweetheart..
Where do you even get that idea? What justifies that question from you? Did I write anything to that effect? If so, where?
Ndio maana nakwambia when things need to happen they just happen. It doesn't matter whether they make sense with you or they do not make sense with you.A wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.
Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.
Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.
Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.
U pretend as if u don't know any thing about " betrayal"Yani mke yuko na mumewe, wanapanga mikakati ya kwenda kwenye ubilionea wa USD, mume anamfundisha binti jinsi ya kucheza basketball na binti aje kuwa star, halafu mke amuue mumewe na binti?
Haiyumkiniki.
Kuna changamoto sana ukiwa na mume anapesaA wife that stands to gain more if Kobe lives than if he dies.
Yani hapa tunaona utamaduni wa unyanyapaa tu kutoka kwa hao wanaosema mke kaua.
Huyo mke atakuwa mjinga sana kumuua mume wake celebrity ambaye wamepita naye mambo mengi magumu, sasa wanataka kutulia walee watoto.
Tena atakuwa na kichaa cha ajabu kumuua mpaka binti yake mwenyewe.
Hujishangai ulivyo na akili duni.usiseme akili zetu sema akili zako.
Hao ni watanzania tu akuna mwingine atasemaConspiracy theorists watasema Kobe bryant alikuwa Freemason na akakosea masharti, ndo maana kauliwa
This wouldn't be betrayal.U pretend as if u don't know any thing about " betrayal"