Anything is possible in this world...Mwakyembe ana ushuhuda mkubwa sana kwa hilo. Chavez naye sijui ni malignant tumor gani hiyo inampelekesha mpaka anasahau siku ya kuapishwa...Bob, if he was a thorn in their bushes then they could do it without even hesitating
Alijkwaa dolegumba wakat anacheza mpira kat ya Weilers na waandsh wa ha habar wa ufaransa mwaka 1979,na alikua anavaa viatu ambavyo vilikua vnatengeneza joto ktk kdonda,hvyo kutengeneza kansa ambayo ilianzia kidolen>uti wa mgongo had kwenye ubongo