Who is your role model 2016-2017?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,691
Reaction score
57,144
Ni swali fupi lakini lina maana Sana. Nitajie Role model wako, mtu ambaye mambo anayofanya ni shughuli ambazo ungezifanya endapo ungepata nafasi. Taja watu watatu ambao unahisi ungekuwa nafasi zao ungefanya vizuri zaidi.

Mimi wangu ni Chris Brown na Mshana Jr na Dynamo magician . Wako je?
 
Role model wangu wa wakati wote ni kelvin twissa
Wengine wawili ni
Terrance Howard
Bi Helen kijo bisimba
 
Role model wangu wa wakati wote ni kelvin twissa
Wengine wawili ni
Terrance Howard
Bi Helen kijo bisimba
 
Jf founders (maana bila wao nisingekua humu),

Aliyeanzisha instagram(maana bila yeye nisingepata umbea,vituko n.k)

Helaaaaaa helaaa(my true role model)
 
Roll model wangu ni mtu yeyote ambaye anapenda maendeleo ya wengne na kuumia nafsi pale wengne wanaposetwa na magumu na dhiki za kimaisha na kupenda kuona wengne wanakuwa na AMANI.
 
Mwana huyo chris brown mbona haendani na hao wawili? Au nayeye skuizi anafanya ulozi?
 
Alphonce lusako mwanafunzi aliefukuzwa chuo na baada ya makasy kadhaa kipita karudi chuo kuomba kuendelea na masomo yake na kukubaliwa.alakini baada ya kukamilisha taratibu zote na kulipia kilakitu anakuja kuambiwa hana vigezo vya kujiunga na chuo hicho.
Huyu ndie rollmodo wangu..hakatitamaa kukamilisha ndoto yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…