Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Dah!na mkoani nimeolewa Ila sio kiivyo 😂😂😂
Dah! Yule Dada Mkao wake kwenye Avatar,Tu mimi hoi...Kumbe ndio maana ya Crush! Kwa hiyo ndio nimemkosa?
Furahia sasa 😝😝Aloooohh zamu yangu imefika 😍
Sasa tukome nini nawe 😂😂Mshaanza Tena mambo yenu, hamkomi tu
Safi sana 😂😂😂😂😂Wangu anawapenz wengiii,nikimtag tutauana humu🙄 embu mi nijilie Kwa nafasi yangu mie🥰
Asante nimeshapoaPole kwa kuachwa
Naachaje kufanya hilo jambo kwa crush wangu pekee humuAbeee
!!Wee Hidu weeweee!! Jana nikakuomba kitu kule ukakimbia!! Nenda kanifanyie wepesi jamani!!

Hazina baya maana crush anaweza kuwa jinsia mwenza..Hizi nyuzi za namna hii, halafu msimu wa baridi 🤔🤔🤔
Hahaha usije kunililia Tena..... hahaha 🤣Sasa tukome nini nawe 😂😂
Tutalia tutanyamaza,, kulia tu 😅 mbona hatukomiHahaha usije kunililia Tena..... hahaha 🤣
Mimi simo, naogopa sanaMimi nimesema ukweli bana kama wewe unapenda wanavyocrushiana bila kutuambia ni wewe me sipendi jaman…
Haha 🤣 hapa sioni uliyemtag ..... natamani nimuone huyo CrushTutalia tutanyamaza,, kulia tu 😅 mbona hatukomi