kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,399
- 17,108
hivi crushs ni wakikeau nisije kumtaja mwanaume nikaumbuka maana vidhungu hivi.
Amna wew sema tu [mention]kelphin [/mention]

hivi crushs ni wakikeau nisije kumtaja mwanaume nikaumbuka maana vidhungu hivi.

Aisee! chumvi Yu waila mama, hongera.Thank you for your candour.
Pleasure is entirely mine, mkuu!
Umri wangu ni > 35 yrs < 40 yrs![]()
ShukraniiWeka alama ya at(@) Ushindi victory
Wewe endelea kusoma tu, maana ukimtaja mtu hapa utachafua hali ya hewa!Nipo hapa kusoma crush wa watu.![]()
Mzee baba hujaona koment yang hapo juu namm nmemtag huyo mwanadada

Ndugu yangu sisi makrushingo hatuna crush sijui crashi tusomage tu![]()






wee unakosaje sasa crush? Usiniangushe bhana.Wewe endelea kusoma tu, maana ukimtaja mtu hapa utachafua hali ya hewa!



nimecheka mnooo, kwamba????😂😂wee unakosaje sasa crush? Usiniangushe bhana.
kuna kibelenge mmoja nikitag inagoma tatizo😂😂😂Amna wew sema tu [mention]kelphin [/mention]![]()
Aloooohh zamu yangu imefika 😍
Ha ha ha thank you Da VinciNaomba nikutaje👀👀
Unaumiza huu moyo, unautesa unavyotakaAloooohh zamu yangu imefika![]()