Rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.
Baada ya kutumbua majipu TPA, TRA, TAKUKURU etc next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?
To me CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.
Je, wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu, Dr.Magufuli?