Mh.rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.
Baada ya kutumbua majipu TPA,TRA,TAKUKURU etc ,next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?
To me,CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.
Je,wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu,Dr.Magufuli?
Mkuu hapo bodi ya mikopo ndio penyewe,nadhani angeifumua kabisa apate watendaji wengine makini zaidi ya hawa wa sasa.Sidhani kama kasi yake wataiweza.Akipata muda, apite pia anglau hata kuwasalimia tu TANAPA, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi, na PPRA