Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Daaaah ahaaaaah wacha ni cheke,maaana umeshanza kuwa kituko cha karne, hakuna kama Cr7 na hatakuja kutokea,kama messi ni god of football it's OK,but hawezi kuwa GOD of football,ko bado Cr7 greater than messi ok go and sleep.Cr7 ana nn ww??
Hata dafu kwa messi hafui.
Mpaka mshindani wake messi watu wanakufuru na kumuita "God of football" ilhali huyo cr7 wanamwita "just" a king of football.
Matusi makubwa rank ya "God" na "king " ni big gap inakuwepo hapo.
Sijasema mm wazungu hao wanawa term hvyo messi na cr7.
Cr7 hakuwahi kucheza hata fainal ya world cup hao wamba wamebeba Gaucho na Delima.
Skillfull playing ya Gaucho cr7 hata messi waamue waende kwa mganga hawazipati.
He is greatest Skillfull player ever Gaucho.
Na kwa era yake kipind Gaucho yupo ktk soka ni kipindi cha magwiji wengi nadhan unawafaham aisee Delima,Zidane,Thierry Henry n.k n.k.
Nadhan unajua mbungi la hao watu.
Mtoe Gaucho waeke messi na cr7 halafu uone km wangepata ballon dor hata moja .
Messi anajua Ronaldo anajua ila kuwafananisha na legendary Gaucho na Delima ni dhambi mbichi isiyokauka
Wewe mkuu unajua mpira nimeiona cr7 na zizzou hapo , sijaona figo na Michael laudrap hapoHapa hatumzunguzii Messi, Messi habari ingine bwana wala hashindanishwi na yeyote unaemjuwa wewe"The greatest player ever",
Si maradona,
Ferenk puskas,
Alfredo de stefano,
Frank beckenbeuer,
Ubaldo fillol,
R7,
Burruchaga,
Pele,
Mario kempes
Gaucho,zidane
R9
Michel platini, wote hawa hawafui dafu kwa Messi!
So nikiweka ushabiki pembeni na kumtendea haqqi, R7 kawazidi mbali sana hao wabrazili.
R7 na Zidane weka mbali na hao wabrazili
Nikuhakikishie tu kiongozi, mimi ni mkongwe na sijaanza kufatilia mpira enzi za akina Messi na R7.
Unakosea sana mkuu tena sanaaaa.Hapa hatumzunguzii Messi, Messi habari ingine bwana wala hashindanishwi na yeyote unaemjuwa wewe"The greatest player ever",
Si maradona,
Ferenk puskas,
Alfredo de stefano,
Frank beckenbeuer,
Ubaldo fillol,
R7,
Burruchaga,
Pele,
Mario kempes
Gaucho,zidane
R9
Michel platini, wote hawa hawafui dafu kwa Messi!
So nikiweka ushabiki pembeni na kumtendea haqqi, R7 kawazidi mbali sana hao wabrazili.
R7 na Zidane weka mbali na hao wabrazili
Nikuhakikishie tu kiongozi, mimi ni mkongwe na sijaanza kufatilia mpira enzi za akina Messi na R7.
Akikujibu nishtue Mkuu,maana Alves ndio Mchezaji pekee aliechukua makombe mengi kuliko Mchezaji yeyote yule kwenye sayari hii.
Aiiii pole yako naona unaongea kiuhemko pasi na facts.Daaaah ahaaaaah wacha ni cheke,maaana umeshanza kuwa kituko cha karne, hakuna kama Cr7 na hatakuja kutokea,kama messi ni god of football it's OK,but hawezi kuwa GOD of football,ko bado Cr7 greater than messi ok go and sleep.
Nikitaka kuongelea Competition ya akina Gaucho na wataalamu wote enzi hizo kwakuwa umeongelea inatosha.Hivi bro unalinganisha ulimwengu wa kina Gaucho na Ronaldo ??
Acha utani ww.
Huyo Messi mwenyewe angekuwa ktk era ya kina Gaucho angepata ballon dor moja tu.
Na kumbuka Gaucho ana world cup baba la baba.
Kupata ballon dor chache Gaucho ni kwasababu ktk kipindi chake cha soka kulikuwa na magwiji kama kina Zidanne,Delima mwenyewe we unadhani hapo kuna nn tena km sio mtiti??
Huyu Cr7 yupo ktk ulimwengu ambao mpinzan wake ni Messi tu waliobaki wote ushuzi hamna kitu ndio maana wanatamba.
Wangezaliwa kipindi cha ulimwengu wa soka uliotawala magwiji kwa wakati mmoja uone kazi yake.
GAUCHO NI FUNDI MKUU MM SHABIKI WA MESSI ILA MESSI NAMWEKA CHIN HAMWEZ GAUCHO .
WW MTU ANAMPIGA MTU CHENGA MPK KUMTEGUA KIUNO??
ANAVISHA VIDALI WATU WATATU??!!
MKUU TUMEMISS SKILLFULL PLAYING OF GAUCHO KIUKWELI MUCHE APEWE SIFA ZAKE
maisha ya wabrazil katika soccer ni mafupi sanaNikitaka kuongelea Competition ya akina Gaucho na wataalamu wote enzi hizo kwakuwa umeongelea inatosha.
Tatizo kubwa la Wabrazil ni starehe.
acha mihemkoDaaaah ahaaaaah wacha ni cheke,maaana umeshanza kuwa kituko cha karne, hakuna kama Cr7 na hatakuja kutokea,kama messi ni god of football it's OK,but hawezi kuwa GOD of football,ko bado Cr7 greater than messi ok go and sleep.
ni kweli, maana yeye si anahesabu vikombeAccording to your logic basi Dan alves ni bora kuliko kila mtu hapo akiwemo huyo CR7.
Issue kubwa ya watu wasiofahamu mpira wanahusianisha Mpira na chenga, ndio Tatizo kubwa la humu jukwaani, na Hata huko mitandaoni kwenye site za changanyikeni,Naona hujanielewa, mimi sijamfananisha gaucho na cr7 ni kweli tofauti, ni kweli gaucho ni kipaji kikubwa sikukatalii, cr7 hana kipaji hicho, hebu tutizame kile cr7 kafanya juu ya soka!! Cr7 hana kipaji ila ana juhudi za hali ya juu!! Jitihada zake ndio zimemfikisha hapo, kwa kizazi hiki kuna watu wana kipaji kushinda cr7 tizama wako wapi kwa sasa umbali wao na cr7
Tunamchukia tu cr7 but he is a beast!!
Ndio maana nikasema kwangu wote ni wachezaji bora, tusiangalie kipaji tupu! Tutizame vipi wamelitendea soka, kuna watu wanavipaji lakini wamekufa kina tarabt, Ben arfa.. hivi unadhani mtu kama ben arfa angekuwa na juhudi km za cr7 angekuwa wapi..
So kwangu mimi cr7 ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa niliopata kuwashuhudia.
Edson Arantes do Nascimento ndie Best and Greatest Footballer of all time mwite PELE sio huyu Pygmy .Hapa hatumzunguzii Messi, Messi habari ingine bwana wala hashindanishwi na yeyote unaemjuwa wewe"The greatest player ever",
Si maradona,
Ferenk puskas,
Alfredo de stefano,
Frank beckenbeuer,
Ubaldo fillol,
R7,
Burruchaga,
Pele,
Mario kempes
Gaucho,zidane
R9
Michel platini, wote hawa hawafui dafu kwa Messi!
So nikiweka ushabiki pembeni na kumtendea haqqi, R7 kawazidi mbali sana hao wabrazili.
R7 na Zidane weka mbali na hao wabrazili
Nikuhakikishie tu kiongozi, mimi ni mkongwe na sijaanza kufatilia mpira enzi za akina Messi na R7.
Wao wanadhani mchezaji bora ni yule mwenye kumiliki mpira, chenga na mbwembwe nyingi!! Ubora wa mchezaji ni zaidi wafikiriavyo wao, lazima tuangalie mchezaji nini kafanyia mchezo wa soka, na ndio maana nikasema kwangu wote ni wachezaji bora.Issue kubwa ya watu wasiofahamu mpira wanahusianisha Mpira na chenga, ndio Tatizo kubwa la humu jukwaani, na Hata huko mitandaoni kwenye site za changanyikeni,
1. Ronaldo katika peak yake kufunga Goli yard 30 ama 40 ni kitu Cha kawaida, na sizungumzii magoli ya kuchop kipa katoka unamchungulia, nazungumzia shuti la nguvu linalomshinda kipa Golini ambaye Hata hajatoka, mechi nyingi amefanya hivi mfano mzuri ni robo fainali UEFA mechi na Porto.
2. Ronaldo anaruka juu na kunata kwa sekunde, sijawahi ona Mchezaji anayefanya vitu Kama hivi, anaruka juu zaidi kushinda average NBA players, ambao Hawa wa basket Kuruka kwao ni Attribute muhimu.
3. Hana weakness ya kufunga, Kuna magoli ya penalty, magoli nje ya 18, Free kick, Goli la mguu wa kushoto, mguu wa kulia, Goli la kichwa, tiki taka etc kila Aina ya Goli linalofungwa na yeye anafunga, complete Forward.
4. Speed ya Ronaldo, ni Unreal, even at Age of 33, mwaka jana Kombe la Dunia jamaa alikuwa ndio fastest player, tulimuona Katika ujana wake akitanguliza mbele Mpira mshindane ujue kakuacha, na sio mbio akiwa katika hio speed anaweza fanya chochote iwe ni kupiga shuti, kupiga chenga etc.
Ahaaaaah toa fact sio ngonjera tu mdogo wanguacha mihemko
Ronaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili
Well said Mkuu,hawa wakina Mesi na Ronaldo wangekuwa kwenye ule ulimwengu ambao mpira ilichezwa na Wanaume wa shoka kama hawa wasingepata hizi sifa hizi wala tuzoView attachment 1164095
Vipi waislamu hamjui kucheza mpira