Who is soulmate?

Kina soulmate kwani hawapatikani!!? Au hujajituma kuwabaini. Kama vipi Punguza vigezo na masharti.

Nahisi kuwa sijajituma kuwapata jogi.Mie ni mtu ambaye huwa sipendelei mazoea ya kisana na watu
 
Last edited by a moderator:
Nahisi kuwa sijajituma kuwapata jogi.Mie ni mtu ambaye huwa sipendelei mazoea ya kisana na watu

Pokea tu ushauri wangu nilioutoa hapo awali, usijifungie, usiibebe dunia kichwani, kwa kifupi "dont complicate your mind" kwa imani utakula maziwa na asali ya dunia hii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…