Who is Nimrod Mkono?

We are in for another 5!!
Nimrod is a good buddy and corrupt-free. If you have anything against him you either go see TAkukuru or Die!!

Mbona unakimbilia Takukuru? Takukuru haipambani na Rushwa. Au mnakutana kwenye kile kijiwe cha 1% ambao wanaamini ni cream ya elite people in the world?, Lol
 

Huyo ni Bwn Nimrod Mkono kirusi kinachomaliza taifa letu la Tanzania.
Fisadi anayetegemewa na kina Rostam Azizi EL Chenge na wengine wengi kutengeneza mikataba ya kufilisi nchi kama huu wa Dowans wa mabilioni. TUMEKWISHA!!!!!!!!!!!
 
Nataka niongeze moja tu, kuwa ana uhusiano wa damu na Mama Maria Nyerere.
 
Tunashukuru kwa kutujuza idadi ya mafisadi. Suluhisho ni dr. Slaa tu maana wakimsikia matumbo yao huwa yanapata jote ile mbaya.
 
Nataka niongeze moja tu, kuwa ana uhusiano wa damu na Mama Maria Nyerere.
Hapana. Si kweli kwamba wana uhusiano wa damu na Mama Maria. Mama Maria ni Msimbiti kutoka Tarime. Mkono ni Mwikizu.
 
just another crook...who took money and put fire the bank of tanzania....with his other crooks....l
 
just another crook...who took money and put fire the bank of tanzania....with his other crooks....l

And yet these are the people we take as role models and praise them wherever they go that Tanzanians could also do something. But after learning horrible things that have put most of them on top of success lader, I become palaryzed.. In Tanzania, success is determined and measured by different factors, duuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…