Who is next?

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
423
Reaction score
684
kama we ni mfuatiliaji juu ya watendaji wakuu wa serikali ya magufuli na siasa za sasa...bashiri ni nani wiki atakae fuata kutimuliwa kwa utendaji mbovu wa majukumu,visasi vya kuharibiana wenyew kwa wenyewe maofisini,rushwa na ufisadi au agizo toka mamlaka ya juu kwa sababu zilizojificha
 
kama zipi unadhani?
 
Nape kwasababu yupo humo kumuharibia Magufuli na kumsafishia Membe!!
 
Mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo watendaji wananunuliana viwanja bila aibu kwa fedha za ofisi na kukopeshana mamilioni ya fedha
 
Next nadhani ni matumizi mabovu ya ruzuku kwa vyama vya upinzani...Zitto alishawahi kugusia hili swala wakamuita msaliti...Ruzuku ni pesa za walipakodi...
 
Hivi wote hawa waliosimamishwa au kufukuzwa ni visa?
 
tatizo makufuri haeleweki. Unaweza shtukia kaibukia hata migodin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…