Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Taarifa za kiintelijensia hazionyeshi kama anatokea familia ya 'kifisadi'. Inasemekana alikuwa msanii tuu, tangia anasoma Marangu sec hadi UD, na aliwahi kushiriki utapeli wa kutoa scholarship hewa, ili kukusanya application fees.
Sijui ndani ya usanii huo alifanikiwaje kujipenyeza ndani ya CCM, na kuukwaa amakamu wenyekiti wa UVCCM.
Kinachofanya nidadisi taarifa zake, ni kutokana na siku za karibuni huyu kijana kushiriki kikamilifu katika njama zinazoonekana kuwa ama kwa makusudi, au kwa kutojua ni za kuiua UVCCM.
Yule Bw mdogo Sabato juzi aliwaambia live kuwa wanaonekana live kuwa wananunuliwa. Kwangu mimi kununuliwa sio tatizo, tatizo ni pale unaponunuliwa kuiangamiza nyumba unayoishi. Hivi ikishaangamia utaishi wapi?
Benno ni tofauti na akina Ridhiwani, Bashe, Nnauye n.k ambao wanajua kabisa kuwa wana maisha mapaaaana, nje ya UVCCM. Lakini huyu kijana anajiamini nini? maana inavyoonekana, kitendo cha kuinadi UVCCM kwa mafisadi kwa bei nafuu kiasi hicho, lazima mtu uwe 'umeaga kwenu'...
Hebu wenye kumfahamu huyu kijana na kinachomfanya ajiamini watujuze... ni pesa, ni kazi nzuri, ni elimu kubwa... au ni nini?