1. Namuamini MUNGU, yeye ndiyo kila kitu katika maisha yangu. 2. Mama yangu, mama siku zote huwa na mwanae ktk shida na raha, haijalishi una umri gani. 3. Pesa, hii inanisaidia kuendesha maisha na kutatua matatizo ya hapa na pale ktk maisha. 4. Jiwe, ukiliweka mahali utalikuta palepale, labda kitu kingine kilihamishe.