Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,694
- 14,129
Kichaa wa wakristo ananichekesha sana, sijui aliandika Bibilia yake amelewa, mara anasema Yesu alikuwepo kabla ya Adam, afu anakuja tena kusema Yesu alichukuliwa katika mbegu ya Adam Ebr. 2:16Kumbe Paulo anawanyima usingizi namna hii? Aiseeh
Sasa naelewa kwanini nyie mliitwa Ngumbaru na Allah wenu. By the way, Allah created Hell for himself and Muhammadans.
Kumbe we bado huji siasa za nchi za magharibi, wao wkaiona waislam wanauwana ndio wanafurahi sababu wao ndio wamewagombanisha kwa kusema huyu ni Shia na huyu ni Sunni. Ukiona wanaingilia basi ujuwe kuna wakristo katika nchi hizo watauliwa na wanaogopa wasipungue. Mataifa y amagharibi wao ni kuhakikisha nchi za kiIslam haziendelei na uislam usikuwe. Lakini wa weke akilini USA and her allies will ever defeat Islam.Nkobe, kinachonishangaza nikuona hata nchi za magharibi zipo kimya na mpaka sasa hawajachukua hatua yoyote . Hawaja washambulia kama walivyo washambulia Taliban Kyle Afghanistan . Tusubiri na tuone muda utatuambia.
spazzaneve
mkuu uislam ungekua kwa kasi basi waislam duniani wangekua wengi kuliko Wakristo, so unachoongea si kweli, Wakristo ni wengi kuliiko waislam hapa dunianii
Nkobe, kinachonishangaza nikuona hata nchi za magharibi zipo kimya na mpaka sasa hawajachukua hatua yoyote . Hawaja washambulia kama walivyo washambulia Taliban Kyle Afghanistan . Tusubiri na tuone muda utatuambia.
spazzaneve
@ francoo1
kuna videos kibao...documentaries nyingi tu....BBC,CNN,RT,ALJAZEERA na mashirika mengineyo makubwa ya habari juu ya ukuaji huo ...nisikutafunie kila kitu ingia YOUTUBE mwenyewe....tukiweka hapa mwishowe thread hufungwa...
ila ukweli ndo huo...kasi tena si kasi ya kawaida ni "supersonic"
Mkuu, umetoa reference zako nyingi nchi za ulaya huku ukiwa umesahau kwamba sa ivi hao wazungu hawazaani na population yao inapungua na wakati huo huo waarabu ambao wako ulaya wanazaana sana kwa sababu ya utamaduni wao, population ya watu sa ivi iko Africa na asia, mbona hujatoa reference zako kwenye nchi zenye watu wengi kama china?
Ukristo sasa hivi unakua sana Nchi za Asia na Africa kwa kasi kubwa, kwa mfano Africa uislam ulikuja mapema kabla ya ukristo lakini subsaharan countries zina wakristo wengi kuliko waislam kwa sasa. sasa uislamu ungekua unakua kwa spidi hiyo uliyotaja hapo juu si bara zima la africa lingekua na waislamu? ilikuaje sasa uislamu uingie kwa kwanza africa halaf ushindwe kufua dafu mbele ya ukristo uliokuja africa hapa juzi juzi tu?
KWA HIYO HAITATOKEA SIKU UISLAMU UKAUZIDI UKRISTO HAPA DUNIANI INTERMS OF POPULATION AND WORSHIPERS
CHUKUA HIZI REFERENCE MKUU
REFERENCE YA KWANZA
Christianity may be declining in the West and Islam is surging, but in the world as a whole, it's a different story. So says Ryan Mauro:...
READ MORE THIS LINK Islam losing ground to Christianity?
REFERENCE YA PILI
Some experts predict the shift of Christianity's center from the European industrialized nations to Africa and Asia in modern times. Yale University historian Lamin Sanneh stated that "African Christianity was not just an exotic, curious phenomenon in an obscure part of the world, but that African Christianity might be the shape of things to come."[SUP][15][/SUP] The statistics from the World Christian Encyclopedia (David Barrett) illustrate the emerging trend of dramatic Christian growth on the continent and supposes, that in 2025 there will be 633 million Christians in Africa.
Only nine million Christians were in Africa in 1900, but by the year 2000, there were an estimated 380 million Christians. LINK NI Christianity in Africa - Wikipedia, the free encyclopedia
LINK YA TATU
China on course to become 'world's most Christian nation' within 15 years
By 2030, China's total Christian population, including Catholics, would exceed 247 million, placing it above Mexico, Brazil and the United States as the largest Christian congregation in the world
LINK NI ni China on course to become 'world's most Christian nation' within 15 years - Telegraph
REFERENCE YA NNE
Africa: Christians outnumber Muslims LINK NI Africa: Christians outnumber Muslims - Vatican Insider
mzee nimesema unakua kwa kasi in western Hemisphere...wazungu wanabadili kwa kasi si ndidvyo nilivyosema? yaani huko ukkristo ulikoanzia "uzunguni" hawaufuati tena wana convert na reason ya kuwa kuna influx ya wahamiaji kutoka Arabuni sio major factor peke yake...kuna huangukaji wa kanisa mkubwa sana huko kwa wazungu
ukisoma testimonies za wazungu wengi waliosilimu si kwa sababu kama za waafrika kama ndoa au kazi...bali wengi wao wamekata tamaa na hawauelewi na kuuamini ukristo...then wengi wao wako kwenye research ya dini mbali mbali kama uyahudi, ubudha na mwishowe huangukia kwenye uislamu na wakikaa wakasoma na kulinganisha doubts zao zote...huona ndiyo imani inayoingia akilini kuliko walikokuwa.....
kuna msululu wa Nuns, preachers, bishops huko ulaya wanaobadili dini mpaka inatishia mustakabali wa nchi hizo itakuwaje miaka ya mbeleni...hasa UK, France na AMERICA...na turning point ya mass converts ilikuwa ni 9/11 pamoja na islamaphobia yoote ile...
so if powerful nations zitakuja kuwa na dominance ya uislamu what will happen?
kwanza tu ni kwamba UKRISTO haujaanzia uzunguni bali ulianzia mashariki ya kati (ISRAEL/PALESTINE ya leo), kwa mfano kua nchi za kiarabu nyingi tu zina wakristo wa karne ya kwanza na wapo mpaka leo ( Eg. Coptic Egyptians, Syria, Iraq), huko ndipo ulipoanzia ukristo na sio uzunguni, hao nao walipelekewa INJILI kama tulivyoletewa sisi sema tu waliwahishiwa, so mzungu ni sawa na mwafrika au mchina au mkorea kwenye kuupokea huo ukristo kwani hata wao walihubiriwa kama sisi tulivyohubiriwa.
Pili suala la kusilimu hata pia kuna waislamu wanaobatizwa na kua wakristo from islam. na umesahau kwamba huko ulaya kuna wale ambao hawana dini pia idadi yao inaongezeka, sasa kwani hao hawajauona huo uislamu?
sasa hivi wamisionari wa kuoneza UKRISTO wanatoka nchi kama Korea, Brazil na sio tena ulaya tu kama ilivyokua zamani, zamani UKRISTO ulikua unaonekana kama ni dini ya wazungu wa ulaya, ila kwa sasa ni GLOBAL Religion.
kwanza tu ni kwamba UKRISTO haujaanzia uzunguni bali ulianzia mashariki ya kati (ISRAEL/PALESTINE ya leo), kwa mfano kuna nchi za kiarabu nyingi tu zina wakristo wa karne ya kwanza na wapo mpaka leo ( Eg. Coptic Egyptians, Syria, Iraq), huko ndipo ulipoanzia ukristo na sio uzunguni, hao wazungu nao walipelekewa INJILI kama tulivyoletewa sisi sema tu waliwahishiwa, so mzungu ni sawa na mwafrika au mchina au mkorea kwenye kuupokea huo ukristo kwani hata wao walihubiriwa kama sisi tulivyohubiriwa.
Pili suala la kusilimu hata pia kuna waislamu wanaobatizwa na kua wakristo from islam. na umesahau kwamba huko ulaya kuna wale ambao hawana dini pia idadi yao inaongezeka, sasa kwani hao hawajauona huo uislamu?
sasa hivi wamisionari wa kuoneza UKRISTO wanatoka nchi kama Korea, Brazil na sio tena ulaya tu kama ilivyokua zamani, zamani UKRISTO ulikua unaonekana kama ni dini ya wazungu wa ulaya, ila kwa sasa ni GLOBAL Religion.
POWERFUL NATIONS HAZITAKAA KUJA KUWA UNDER ISLAM HATA SIKU MOJA MKUU KUANZIA HII DUNIA IANZE NA MPAKA HUKO TUENDAKO HILO HALIPO, mfano tu nimekupa china ambayo ndo inaonekana itakuja kua powerful hapo mbeleni rate ya CHRISTIANITY GROWTH NI KUBWA SANA, na ndo inatabiriwa itakuja kua na wakrsto wengi kuliko hata marekani
Nachokiona kwako ni hofu...tu hamna kingine
MKUU SINA HOFU YEYOTE KABISA, sasa tuendelee, nishakujibu kwamba waarabu wa Ulaya wana birth rate kubwa kuliko wazungu.
Suala na wazungu kusilimu kua waislamu sidhanii kama ni isue sana kwa sababu kuna waislamu wengi tu tena wasomi wa quran ambao wamekua coverted to CHRISTIANITY, sasa mkuu huwezi jiuliza ni kwanini na hilo linatokea upande wa pili?
EMBU CHEKI LIST HII List of converts to Christianity from Islam - Wikipedia, the free encyclopedia
NA HII MKUU, HIVI SI UNAJUA KWAMBA INDONESIA NDO NCHI YENYE WAISLAMU WENGI DUNIANI?, SASA NA HUKO WANAPUPUTIKA MKUU
A religious revolution is taking place in Indonesia.
Indonesia is the world's largest Muslim nation with 215 million adherents, but a new census shows that 10 percent of Indonesians are now Christian.
In the country's capital of Jakarta there are 40 evangelical churches. Just 50 years ago there were none.
Report: Christianity Growing in Indonesia - World - CBN News - Christian News 24-7 - CBN.com
Mkuu reference zangu hazijatoka wikipedia tu, zicheki vizuri
Mkuu reference zangu hazijatoka wikipedia tu, zicheki vizuri.
pili siwezi thibitisha kwamba wanaotoka from christian to islam ni wengi kuliko wanaotoka from christian to islam ila hapa tu nilitaka kukuonyesha kwamba hili suala lipo kote kote manake wewe ulitoa reference ya wazungu kua converted to islam na ukaona kama ni big isue sana, mimi nikakuonesha kwamba sio big isue sana kwa sabau bu pia wapo mashehe na wanazuoni wa kiislamu waliosoma hiyo dini kuliko wewe na wengine walikua ni magaidi wanaojitoa mhanga lakini wamekua converted to CHRISTIAN
"kumbuka tunavyoongea...every year 20,000 chriastians are converting to islam in America, 10,000 in Britain, 40,000 in France...na nchi zingine... NILISHAKUJIBU KWAMBA HAWA JAMAA WA HUKO ULAYA SA IVI HAWANA EFFECT TENA KWENYE POPULATION YA DUNIA KWA SABABU HAWAZAANI MKUU, WANAPUNGUA KILA SIKU NA NADHANI HILO UNAJIJUA SIHITAJI KUWEKA REFERENCE
Kama hiyo ya wikipedia ni ya uongo kuhusu hayo majina? ya walio kua converted to CHRISTIAN FROM ISLAM? hiyo ni kweli mkuu icheki.
halaf CHINA imeiacha USA mbali sana kwa watu hata hawakaribiani mkuu SO BADO KUNA GAP KUBWA HAPO in terms of population.
Pili nimekupa mfano wa nchi ya indonesia ambayo ndo inaongoza kwa waislam lakini sasa hivi 10% ya wakazi wake ni CHRISTIAN, sasa we angalia 10% ya watu zaidi ya milioni 200 ndani uya muda mfupi halaf ndo utapata spidi ya growth rate ya hizi religions. in short sidhani kama ISLAM RELIGION NI TISHIO KWA CHRISTIAN RELIGION
Kama hiyo ya wikipedia ni ya uongo kuhusu hayo majina? ya walio kua converted to CHRISTIAN FROM ISLAM? hiyo ni kweli mkuu icheki.
halaf CHINA imeiacha USA mbali sana kwa watu hata hawakaribiani mkuu SO BADO KUNA GAP KUBWA HAPO in terms of population.
Pili nimekupa mfano wa nchi ya indonesia ambayo ndo inaongoza kwa waislam lakini sasa hivi 10% ya wakazi wake ni CHRISTIAN, sasa we angalia 10% ya watu zaidi ya milioni 200 ndani uya muda mfupi halaf ndo utapata spidi ya growth rate ya hizi religions. in short sidhani kama ISLAM RELIGION NI TISHIO KWA CHRISTIAN RELIGION
hiyo ya wikipedia imekudanganya...its not the truth...kwa Ulaya ukubali au ulete ubishi sasa hapa..ni kuwa muslim converts to christian ni rate ndogo sana na tofauti na kinyume chake...pia christians to convert to atheism ni rate kubwa sana...
so uliposema china itakuwa LARGEST christian population country ina maanisha kuna nchi iko na hiyo sifa then itaipiku...na kwa mujibu wa link yako by 2020 wanaweza kuwa 160 milions....lakini bado ujue huko Northen America wataalamu wa demographics wanahofu kuwa by 2025 nchi itakuwa muslim country USA as well As Canada...USA tu kuna wakazi si chini ya 500 million...
so its a complicated scenario....growth rate ya dini hizi mbili ni tofauti sana...one is more speeder than another