Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed
mkuu hiyo ndio siasa...hasa ya middle East...for sure wale jamaa na Al Qaeda na hata Taliban wenyewe ni watu walio na mitizamo wa kupigania dini ila who funds them?
ngoja tutazame......FACTS zifuatazo ambazo ndio history yenyewe
1...Taliban na Osama bin Laden wakati huo akiwa ametoka kwenye ukachero wa USA walipewa fedha na mafunzo na silaha wasikubali uvamizi wa wasoviet kule Afghanistani miaka ya 1980...hili limewahi kusemwa na Hillary Clinton akihojiwa na television ya FOX kwa maana kuwa USA hawakutaka kamwe RUSSIA wakati huo USSR na ukomusti wao waikamate mashariki ya kati na asia kwa kuwa walivamia Afghan wakawapa sapport Russia wakatoka...hiki kikundi peke yake kisingeweza vita ya kuito Russia....
2...Wakati wa Arab spring iliyofikia hatamu yake kwa vita vya Syria kwa miaka miwili...ni kuwa USA na ISRAEL wana tegemea sana EGYPT kama strong Arabic country kama mshirika wao...kuipoteza misri kuingia kwenye mikono ya Brotherhood ni kuipoteza Middle East na threat kwa Taifa la Israel...thats why wakati wa demonstrations BENJAMIN
NETANYAHU alinukuliwa akisema
"we are observing carefully political changes in Egypt as we are fearing a country to be governed by Extremist more than Iranian Government"
Ndio maana USA hawakuwa wakisema wazi Hosni kuondoka madarakani ispokuwa walikuwa wakisisitiza
"Mubarak has to make Reforms"
ufahamu kuwa EGYPT ndio nchi ngangari ya kiarabu kuliko zote kwa kuwa wako na jeshi kubwa sana na la kisasa kupitia funds za USA wakati wa utawala wa Anwar al Sadaat na Hosni mubarak kwa miaka 40 mpaka sasa...therefore Morsi japo alishinda uchaguzi alikuwa na CONNECTION na HAMAS kwani ikumbukwe kuwa yeye aliwaita FATAH (ya mahmoud Abbas na Hamas (mousa ibn Abu marzouk na Khalid Mashal) mjini Cairo na kuwaunganisha waache tofauti zao ndio maana kuna Unity goverment mpaka sasa upande wa palestina....na akafungua mpaka pekee wa GAZA huko Rafah amabo kwa mujibu wa mkataba baina ya Hosni na Israel unafungwa kwa kuepusha kuvusha silaha kwenda Kwa resistance groups kule Gaza .
hii ndio iliyomuondoa MORSI madarakani...then huyu aliyeshika madaraka
Brigedia AL SISI ni Puppet leader wa USA na israel..anachoweza kuwasaidia Gaza ni peace Talks
3...Syria...mnaweza kuidharau ila kwa hakika nchi iliyo na kinyongo na State of Israel basi mojawapo ni Syria..kwa kuwa vita vya mwaka 1973 walipoteza milima ya Golan kusini mwa nchi yao eneo hilo analo Israel mpaka leo...kwa kuwa muda wote toka baba yake Bashar Assad (Hafidh Al Assad) amabye alikufa mwaka 2000 alikuwa anti Zionism and America na akakuza uhusiano wake na IRAN..chance ya kumtoa ilikuwa ni mwaka 2011 pale wananchi walipotaka atoke madarakani...hapo ndipo ISIS ilipozaliwa
ISIS ni akina nani? (ni muunganiko wa vikundi vingi kama 30 vya wanamgambo wa kiislamu) waliopewa mafunzo na USA na NATO ili wamtoe BASHAR kule Syria kwa kuwa RUSSIA alikuwa na interest zake kule na Iran wakashirikiana kumpatia silaha akawashinda waasi...ndio mpaka leo waasi wa ISIS wana mafunzo na pesa zote walipata kwa USA na baadhi ya mataifa ya kiarabu yanayoifanyia kazi America....
ISIS iraq kunani? tawala ya Nuru Al maliki baada ya kusimikwa na USA amejikuta anapata sapport kubwa ya kifedha kwa IRAN (kwa kuwa ni mashia wenzake) so uhusuano wa serikali ya Iraq na America si mzuri sana kama na IRAN ndio maana kundi hili limehamia Iraq kuendesha harakati zake....