Siwezi kuhadaa ulimwengu kwamba najua majibu ya maswali haya.
Lakini hilo halina maana kwamba nikipewa jibu ambalo si la kweli na lenye mikingamo isiyoafikika, siwezi kulitambua hivyo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa na viwango vya upendo vilivyo chini ya upendo unaowezekana kibinadamu. Kwa hivyo, kama kweli ana uwezo wote na upendo wote, tungetegemea kuona ulimwengu wake ukiwa mzuri zaidi ya huu wa matetemeko ya ardhi yanayoua kqa mafungu, Ebola isiyotibika kqa watu masikini, mauaji, vita, njaa etc.
Kama mungu angekuwa binadamu mwenye uwezo wote huo anakaa Washington DC, New York, London, Dar au Dodoma, na ana uwezo wa kuzuia hayo yote, lakini hazuii tu, watu qangeandamana kumlaani, na hata kumshtaki mahakama ya The Hague kwa mauaji ya jumuiya.
Sasa inakuwaje huyu mungu mqenye uwezo mkubwa kulimo vyote kwa madai ya wengine, tumuwekee viwango vya chini kabisa vya uwajibikaji?
Huyu mungu yupo kweli au tunajisahaulisha tu kwamba kuna mambo hatuyajui na kila tusilolijua tunamsingizia mungu tusiyemjua?
Kama mungu mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini mabaya yapo duniani?
Ni kwa sababu sababu anaweza kuzuia ila hataki tu?
Kama ni.hivyo, je, ana upendo.wote kweli?
Au nin kwa sababu anataka kuzuia maovu lakini hawezi?
Kama ni hivyo, je anaweza yote?
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.
1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!
2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!
3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
Hata siku moja hututaweza ku describe kitu ambacho kiko unlimited na fahamu zetu ambazo ziko limited
Umetaja mabaya unayosema ni mabaya kwa kiwango chako cha kufikiri, hujataja mazuri ambayo Mungu amekuwa akufanya juu yako, uwepo wako duniani ni upendo tosha aliokufanyia Mungu na sidhani km unamlalamikia kuwa kwanini alikufanya uje duniani. Kiranga nilikwambia kwa uwezo wetu wa kufikiri sisi binadamu ni mdogo sn, nilikupa mfano kuwa sisimizi ajifanye kutaka kulingana uwezo wa kufikiri na ww binadamu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Ukimfikiria Mungu in physical matter hutapata jibu, ila ukimfikiria Spiritually utafika mbali na utamuona Mungu
Sasa mmejuaje yupo?
Kwa hiyo wote hatuna uhakika??umejuaje hayupo ???
Kwa hiyo wote hatuna uhakika??
wewe unajua au unaamini mungu hayupo ??
Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!
Kutokana na kila tunachokijua hadi sasa kuhusu dunia ama ulimwengu huu hakuna haja ya mungu!na kwa sababu hakuna ushahidi basi hayupo. Kama una ushahidi lete hapa
kwa nini hakuna haja ya uwepo wa mungu
haja yako ni nini ili ujue mungu yupo au hayupo ??
Kwa sababu hakuna kinachohitaji mungu ama uwepo wa mungu ili kiwepo!
Mungu ni idea na sio real figure ama spirit kama mnavoita.Ni idea tu ambayo ipo tu.
Haja yangu ni kwamba ilikuwaje mungu mwenye upendo wote na nguvu zote akashindwa kuepusha maovu katika dunia aliyoiumba na kuipenda kweli?.Kwa nini kama kwel yupo anashindwa kumwangamiza huyo mnaemwita shetani!?.Je shetani anafanya mambo yake kwa mamlaka ya nani?