Unachanganya kujua na kupanga,unapojua kesho mvua itanyesha haina maana umepanga inyesheWell, kaa Mungu anajua yatakayojiri kesho basi binadamu hana free will, yani huwezi kuchagua na kuamua nini la kufanya kumfurahisha Mungu au kutenda dhambi au kusali kuepushwa na ajali. Imeshapangwa hivyo. Which means, kama huna free will, then huna dhambi yeyote maishani, ulichofanya kibaya, ama chema, hujaamua wewe kwa ridhaa yako. Which means hakuna dhambi na adhabu and hell and heaven! Yote yanakuwa ni hadithi za abunuasi.
Jifunze kwanza Mungu ni nini ili ujue namna ya kuuliza maswali sahihi!Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini. 1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??! 2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??! 3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
Mungu gani?
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.
1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!
2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!
3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!

Unachanganya kujua na kupanga,unapojua kesho mvua itanyesha haina maana umepanga inyeshe
Mungu anaposema anajua haina maana amepanga,anapojua kesho utaiba hajapanga wewe uibe!
Ndg kumbuka pale ulipoishia kufikiri ww ndipo Mungu alipoanzia, uwezo wako ni mdogo sn. Mfano linganisha uwezo wako wa kufikiri na mdudu km sisimizi, hapo utapata jibu la maswali yako
Unajuaje kaniumba?
Indeed, unajua au unaamini tu?
Unajuaje km mimi tunaejibazana hapa nipo na sio maandishi tu yanatokea?
Kaumba binadamu wote...
Kwakuwa wewe binadamu umeumbwa naye....
Mungu ndiye muumba Wa binadamu na wanyama
Hamna mkuu huyu bibi kizee ana rangi ya kimakonde kabisa labda kama siku hizi anatumia mkorogo
Ni mTz asilia sema amekuwa brainwashed na udini
Nani kakwambia kwamba najua upo?
Sijui kwamba upo.
Inawezekana kinachoandika hapa ni program ya computer tu.
Hujanijibu swali langu.
Unajuaje kwamba mungu yupo na si stories tu?
Unajuaje kaniumba?
Indeed, unajua au unaamini tu?
Unajuaje kwamba kaumba binadamu wote na hizo si stories tu?
Hujatoa sababu, umeleta a fiat statement tu.
Tuonyeshe ni kitu gani kinakupa ujuzi kwamba mungu kaumba viumbe wote.
Usiseme tu "mungu kaumba viumbe wote".