Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.
1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!
2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!
3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
Mkuu thread ya Majigo kule wameifunga na ninahisi hata hii wanaweza kuifunga pia, sijui ni kwa nini.
As far as I know God is timeles, to God, time is meaningless, to him yesterday, today and tomorrow has no difference.
He knows yesterday, today and tomorrow at a single, timeless act of awareness.
Kwa hiyo, kusema kuwa "Mungu ali exist..." si sahihi. Tunasema "God exists".
Time is real, but to human being, not to God, God created time, and he was there before time, and he will be there after time, in short, God is beyond(outside)time.Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!
haiingii akilini kabisa. Time is real and its here. Anything real must adhere to reality such as time.., unless god isn't real.., is it..?!
mfano mdogo1
Kwenye Quran, zipo aya zinaelezea michakato ya kisayansi inavyofanyika, Kwa mfano mzunguko wa dunia, namna mvua invyojitengeneza, hatua za uzazi, bahari na landforms kwa ujumla..
Zipo aya zinasema Kuna Sayari 11 - Japo wanasayansi mpaka karne hii ya 21 waligundua uwepo wa sayari 9 (nimesikia imegundulika ya 10 recently) . Hapa Quran ilishazungumza kabla, yaani zaidi ya maelfu ya miaka iliyopita!
HAYA na mengine mengi ni mifano tosha juu ya Uwepo wa Muumbaji na hakuna shaka katika hilo.
Tena kwa uzuri, Yeye Mwenyewe hajifichi, wala sio msiri, ameshajifafanua kwa dhahiri kabisa katika vitabu vitakatifu! Basi tu wana wa Adamu, wavivu wa kusoma na kufanya tafakuri...!!!
Maajabu yaliyomo kwenye QURAN (Hata Injili), Ni ushuhuda tosha.
Sawa, Kuna baadhi ya aya kwenye vitabu hivi ni falsafa tu za mitume waliopita, ambao kwa hakika waliweza kuforetell mambo makubwa yajayo (either kwa kipawa au intelijensi kubwa waliyo jaaliwa n.k), Lakini vipi kuhusu scientific proofs ambazo zimo pia??
SITOKUWA HATA WA MWISHO KUPINGA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU ---- MAANA YEYE YUKO DHAHIRI NA AMETOSHELEZA MAJIBU YA MASWALI YOTE!
My Take: Watu wasome, Watafakari, wafanye tafiti za hizi scriptures za holy books, Kisha waamini na kumtukuza Mungu.
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.
1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!
2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!
3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
mkuu, unaweza ukanipa aya za quran na mistari ya injili inayozungumzia hayo uliyoyaandika hapo juu na mimi nikaperuzi?
Shule tumefundishwa jua limesimama kwenye Quran tumefundishwa hivi.
ﻭَﺍﻟﺸَّﻤْﺲُ ﺗَﺠْﺮِﻱ ﻟِﻤُﺴْﺘَﻘَﺮٍّ ﻟَﻬَﺎ ۚ ﺫَٰﻟِﻚَ ﺗَﻘْﺪِﻳﺮُ ﺍﻟْﻌَﺰِﻳﺰِ ﺍﻟْﻌَﻠِﻴﻢِ
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Vipi hapo unaamini kipi?
Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!
Unavoipa value hiyo forever inaonyesha kwenye mathematics hauko vzr kdg....
Ukiipa +infinity value afu ukachukua hiyo +infinity jumlisha moja hujui kua utapata +infinity??
na ukichukua -infinity ukatoa moja au kujumlisha moja bado utapata hiyo hiyo -infinity...
Au una jibu tofauti na hilo??
Navojua wa Roman from wanaweza kujua maana ltk sala ya Maria inasema....mama maria mama wa mungu......so lazima bikra maria ambae ndo kamzaa mungu kwa mujib wa roman catholic anajua mwanae ana umri gani ambae ndio mungu;