Hii sasa ni kazi
Kwanza sijajua hapa unasema nini
Unadai ushahidi au unadhani kuwa ulidai ushahidi kwenye kile ulichoandika?
Ulichoandika hiki hapa chini
Ni wapi ambapo kuna swali ambalo nilitakiwa nijibu?
Unajua swali ni kitu gani?
Ni wapi ambapo umedai uthibitisho wa Jehanam ambayo sisi tunaamini ipo?
Ndio maana nimema kuwa wewe una matatizo makubwa na hujayajua tu,huwezi kujieleza,huwezi kuandika kitu ikaeleweka vizuri,huwezi kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi angalau hata kidogo
Wewe ndio umjue Mungu kweli?
Nadhani utakuwa unajishangaa mwenyewe,ingia google ikusaidie,jibu hoja,hata uni~attack vipi!bado hujafuta hoja pili kama huwezi kunielewa huo ni uthibitisho tosha kuwa una upeo mdogo
sijuhi kama kuna mtu ataelewa ulichoandika,huna hoja
Mambo ya weekend hayo!!!! sijawahi waza hii kitu kabisa, nadhani kama jana ulipata NDOVU special Malt kwa wingi ndo unaweza kuwa na uwezo wa kuwaza hiyo kitu labda.
Kimekutajia bandiko ili uanzie hapo maana ni kama ilikurupuka kujibu,hapo nilieleza kabisa kuwa natoa taarifa sasa sijuh hujaelewa nini,maswali yalifuata.chini kutokana na taarifa,kuwa makini
Unajua uthibitisho ni nini?Kuna uthibitisho hapa kuwa hakuna jehanam.ya kidini,yaani hakuna mahali ambako soul inachomwa moto,sasa naona watu wanajifanya hawaoni,kama.hakuna jehanam basi watupe sababu kwanini wamemtengeneza mungu dhaifu
Kama kuna anayeweza kumsaidia eiyer basi na aje,Unajua uthibitisho ni nini?
Kama unajua niambie!
Mwanzoni uliniambia kuwa maswali yapo hapo
Sasa unaniambia yalifuatia chini
Naanza kupata hisia kuwa nyie watu mnaopinga uwepo wa Mungu mna matatizo makubwa sana ya akili,hamjayajua tu
Kila la kheri!!
Kama kuna anayeweza kumsaidia eiyer basi na aje,
Takwimu zinasema watu wa mungu kama wewe mnauwezo mdogo sana ,sio daasan tu hata kufikiri.Kwa hiyo ni bora ukawa mpole tukupe somo kijana.Maana miungu yako ya jua,mwezi,nyota tushaiua amebaki huyo ASIYEONEKANA. Lakini nae hana muda.
Nishamzoea,ona anauliza maana ya Uthibitisho,yaaan ni majanga.Sasa kama hajui maana ya Uthibitisho anafanya nn humu?.Yeye huuliza maswali kutoka katika maswali aliyoulizwa hawezi kujibu kabisa.
Nithibitishei Hapa KUWA WEWE SIO Mwanamke? Wewe unatupapatikia ndio maana kila kukicha unafuta thread zetu.
Kuna uthibitisho hapa kuwa hakuna jehanam.ya kidini,yaani hakuna mahali ambako soul inachomwa moto,sasa naona watu wanajifanya hawaoni,kama.hakuna jehanam basi watupe sababu kwanini wamemtengeneza mungu dhaifu
Bado kuna hoja hazina majibu,naona.unataka kuanzisha.mengine
You don't know me young girl. When you talk to me you better respect yourself, I am not a thug from the ghettoes like you..
sijuhi kama kuna mtu ataelewa ulichoandika,huna hoja
Duh,kweli mungu dhaifu anatengeneza viumbe dhaifu
You are the dumbest here who can't even tell us whether you are the male of the female. So stop your nonsense and worship your Lucifer who is your deity and father.
PROVE TO ME THAT YOU ARE NOT A FEMALE?
Nithibitishei Hapa KUWA WEWE SIO Mwanamke? Wewe unatupapatikia ndio maana kila kukicha unafuta thread zetu.
Kuwapapatikia ndo nn?.I see some kind of taarabu here.Are you one of those known as kanga moja?.Lini nimefuta thread zenu?,ama ulimaanisha kufuata,Sikia kijana huwa naitwa kayika thread huwa sifuati naona nakukera nakunyima hewa?.
Huwezi mjadala wewe uko weak sana.Hao unaowadanganya kwa kukopy na kupaste ni wenzako tu sio watu makini.