Ha ha ha ha ha, unachekesha sana bwana Free ideas kwa vitu unavyoandika. Eti umesema tumekaririshwa?, ngoja nikupe fungu hili kwanza ili ujue kuwa hayo yote uliyoyaandika yalitabiriwa Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.Unaonesha jinsi ulivokariri bila kushughulisha ubongo,ngoja nikupe somo ndugu.
Ukihukumu na kuthibitisha uwepo wa MUNGU katika hizo fikra kwamba kitu flani kisingewezekana bila nguvu flani utakuwa uko total wrong!.
Sio lazima nijue kwa nn nipo hapa,na hasante ta nikijua kwamba ni kwa sababu gani haitanisaidia kwa maana SIMUONI,HANA MAWASILINO NA MIMI TOFAUTI NA MAPOKEO YANAYOELEKEA KUPITWA NA WAKATI.
Wakati watu hawajafumbuka na sayansi haijakuwa,tulidhani kabisa vitu kama Tsunamis,catrina,na volcanic eruptions ama uhaba wa mvua,ni ADHABU kutoka kwa MUNGU,lakini leo hii vitu hivi tunajua asili yake na kwa nn vinatokea na hatA vipimo vya kutabiri tunavyo pia.
Miaka hiyo Taifa moja lilikuwa linaua watu kwa kisingizio kwamba limeagizwa na MUNGU.(kumbuka safar ya waizrael kurudi kwako).Waliagizwa kuua kila kiumbe hai chochote njiani.
Kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo,utagundua kwamba ZILIKUWA ENZI ZA UJI..NGA.,hakuna aliyehoji.Jiulize mbona huyo mungu wao hawapi maagizo tena miaka hii?.
Ukiwa unatafakar mambo haya hutakiwi kuwa n jazba.
Ha ha ha ha ha, unachekesha sana bwana Free ideas kwa vitu unavyoandika. Eti umesema tumekaririshwa?, ngoja nikupe fungu hili kwanza ili ujue kuwa hayo yote uliyoyaandika yalitabiriwa Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.
Haya bwana Free ideas, hayo maarifa yaliyoongezeka , kwa nini Biblia itukaririshe tokea zama za Danieli kuwa maarifa ipo siku yataongezeka, yaani ni kusema Danieli aliona hayo miaka mingi sana iliyopita, na katika zama zetu yanatokea.
sasa hata kugundua hayo yote, ni sawa na kusema yametokea kwa bahati mbaya tu, au unadhani watu wa leo tuna akili kuliko wa enzi hizo?.
Ngoja nikwambie kitu, kale kakitabu kenu ka satanic bible bila shaka kanawapumbaza, maana huko si ndio mnaambiana kuwa, kapo maalumu kwa free thinkers​. Utakuja kushituka kwamba, shetani amekupoteza, shituka wakati kukiwa bado ni mapema. Kama hujakasoma, kapitie japo kwa kifupi, ndipo utajua kuwa pumba zote mnazobisha juu ya uwepo wa Mungu, zimeandikwa humo.
kama hujui unatafuta nini sina cha kukusaidia
kama huwasiliani naye ni wewe sina cha kukusaidia
kama bado sayansi bado inakuwa subiri ikamilike sina cha kuwasaidia
kama zilikuwa enzi za ujinga na mnaelekea nyakati za kujitambua endeleeni sina cha kuwasaidia
kama hujui kwanini upo duniani na unadhani utaumiza kichwa kupata majibu mepesi sina cha kukusaidia
kama umeshindwa jua ulipotoka na unadepend theories ujue unapoelekea sina cha kukusaidia
kama umeshindwa kutumia ubongo wako nakufanya hypothetical thinking iliyowise sina cha kukusaidia
kama umeprefer artificial life na kuacha natural sina cha kukusaidia
sina mana humjui mungu ni nini
eiyer free ideas
sitaki na sitaishi kwa uoga na hofu
sitaishi do you know tomorrow?
HAVE A NICE JOURNEY
even if i dont know,it doesn't mean that there is Someone /something
what does it mean
Try to define the WORD LIFE,and tell me if the NAME GOD,appear in your definition !,
Try to define the WORD LIFE,and tell me if the NAME GOD,appear in your definition !,
only fools will answer this
aliumbwa adam na hawa basi sisi ni kizazi cha uumbaji ule yani tunazaliana hatuu
mbi we are DUPLICATING
aliumbwa adam na hawa basi sisi ni kizazi cha uumbaji ule yani tunazaliana hatuu
mbi we are DUPLICATING
We kijana usikose nidhamu ya kuni judge mimi.
Kwa ufahamu kazi niifanyayo mimi ni kusaidia kuokoa maisha ya wanadamu. ( take a wild guess).
Na sina haja ya kukwambia hili ili nijikweze kwako kwa sababu sipati faida yyt.
Wewe hunijui wala mimi sikujui.
Unaposema kichwa changu kimejaa udini Unakosa adabu ya mjadala na utasababisha watu wavunjiane heshima hapa.
Na hii pia ni moja ya tabia ya wale wanaijifanya wanajua kumbe hawajui.
Si wewe uliyesema Mitume wote wametoka Mashariki ya kati.
Sasa mimi kukukosoa imekuwa kichwa changu kimejaa udini.
Nilidhani najadili na muungwana kumbe huna maana yyt.
Siku njema.
Huo ni mtazamo wako yesu ni nabii wa allah katika miujiza mitatu ya dunia mungu alioifanya ni hilo la kupulizia mimba ya nabii issa(yesu) la pili ni kumuumba binadabu kwa. Udongo la tatu kumtoa mwanamke kwenye ubavu wa adam je mungu anasulubiwa waislamu tunamwamini yesu (nabii isa) kama mitume mingine iliyopita yeye akiwa wa tatu kama sikosei kisha wa mwisho muhammad kubali au kataa ukweli ndio huo
kazi ipo ngependa kungeanzishwa uzi mwingne kujadili uungu wa yesu maana naona mawazo ya wanafunzi wa kanisa yanabishana na mafunzo yao
Kuna mswali mengine hutakiwi hata kujiuliza wala kupost ikiwa unaamini ktk mungu lasivyo vinginevyo
na pia pangeanzishwa uzi wa ushetani wa allah. acha mtu aamin anachoamin
na pia pangeanzishwa uzi wa ushetani wa allah. acha mtu aamin anachoamin
kwanin wakati tumeambiwa tutafute elimu popote hata ikibid mpaka chna