Kwanza acha kuwasemea watu wote. Hayo maneno hapo kwenye nyekundu mimi na mkuu wangu MUNGU SI MZUNGU hatujayasema popote kwenye huu uzi.okay huwa sipendi league,ngoja niwasaidie/niwarahisishie maana mmekwama,
Mimi,napinga uwepo wa kitu/mtu ama chochote kile cha namna yoyote ile kisemwacho kwba kipo na kinanguvu ya
ku-govern maisha na kila kinachoendelea ulimwenguni.Nyie mnachokipa sifa zote na nguvu zote.Ambacho hata hivo mmeshindwa mpaka sasa usema ama kuthibitisha kwamba kipo kwa evidences za kuonekana na kuleweke.,Na mara nyingi tunapo hitaji ushahidi wa kuwepo kitu/nguvu hiyo mnaishia kusema kwamba chenyewe hakihitaji ushahidi,sasa iweje mnakielezea kama hakihitaji hata kuchunguzwa??,
NIkisema kitu/nguvu/kiumbe hicho ni UOGA na mnakiumba nyie kutokana na SINTOFAHAMUA,mna sema tunakufuru.,haya nishawafafanulia leteni ushahidi usio na shaka wabuwepobwa kiumbe/nguvu/kitu hicho
Hawakusema hivyo simply kwa sababu hawakutumwa, waliotumwa walisema. Ngoja nikupe mfano mdogo sana. Hebu chukulia nchi kama Tanzania na raisi wake (Mh JK), kwa kufuata hoja yako ni sawa na kusema kwa kuwa wapo watu wanaofanya mambo bila kuagizwa na rais basi hata wale walioagizwa nao pia hawakuagizwa?? This is very flawed logic. Huwezi kusema kwa kuwa Gandhi, wewe na mimi hatujasema kuwa ni mitume basi wale wote waliosema ni waongo. Wewe ulitakaje, wote tuwe mitume???!!!!
Mimi nimejiuliza na siogopi, ninayakini, swali ni je kwanini uwe na uhakika sana wakati haka kadunia kenyewe kanakushinda?? Hivi wewe kama ubongo wako ulionao uwezo wa kuelewa kila kilichomo katika dunia huna halafu leo hii unataka kusema una uelewa mkubwa sana kiasi cha kuwa na uhakika wa 100% kuwa Mungu hayupo!!! Ni afadhali wale jamaa wanaojiita "agnostic", wao wanasema hawana uhakika. Tukirudi kwenye suala la uoga, hivi ni kwanini uoga umfanye mtu amtengeneze Mungu katika akili yake??!!! Kwanini "idea" ya Mungu imsaidie binadamu kiasi hicho. Kwanini kwa uoga huohuo binadamu asiamue kuwa hakuna Mungu??!! Wewe kinachokufanya ufikiri kuwa mtu akipatwa na woga anapata idea ya kuwepo Mungu ni nini??!! Kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya uoga na uwepo wa Mungu??
Hapa hujajibu swali, jibu swali ni nani aliyekwambia kuwa mitume wote wametoka mashariki ya kati??!!
Iko wazi kwa mujibu wa nani?!! Yaani hapa ndio unaona umejibu hoja?!! Kwa hiyo mimi nikisema wajinga wote wanatokea Australia, ndio inakuwa ukweli??!!!
Iko wazi kwa mujibu wa nani?!! Yaani hapa ndio unaona umejibu hoja?!! Kwa hiyo mimi nikisema wajinga wote wanatokea Australia, ndio inakuwa ukweli??!!!
Wewe unasema kuwa kutokujua kwetu tumetokea wapi hakuhalalishi uwepo wa Mungu, hiyo unaona sawa kabisa. Ila nashindwa kuelewa kwa nini reasoning hiyo huitumii kwenye suala la mitume. Yaani kwa kuwa humjui mtume yeyote asiyetokea mashariki ya kati basi kwako umeamua kuwa hakuna??!!! You can do better than this.
Nimejiuma wapi, kama unakubali kuwa nikisema kuna Muumba sio lazima iwe kweli. Kwa nini unaona ni lazima iwe kweli mitume wote wametokea mashariki ya kati.Mbona unajifunga na kukubali hoja zangu indirect!,
Uwezo nilionao wa kuwajua mitume +Historia inaonesha mitume wote wanatoka MIDDLE EAST ,wewe kwa kuwa unafaham zaidi nikakuuliza kwamba mtaje hata mmoja ambaye hatoki ukanda huo,umebaki unajiuma-uma,!,
Naona umekubaliana na mimi kwamba ukisema wajinga wote wanatoka Australia haimaanishi kwamba ni kwel,so hata akili yako inayokutuma kwamba lazim kutakuwa na muumba pia sio lazima iwe kwel
Iko waz kwa mujibu w historia,!,mbona swali langu ni dogo tu ndugu,mtaje mtume hata mmoja umjuaye wewe atokae ukanda tofauti na mashariki ya kati.
Nimejiuma wapi, kama unakubali kuwa nikisema kuna Muumba sio lazima iwe kweli. Kwa nini unaona ni lazima iwe kweli mitume wote wametokea mashariki ya kati.
Hapo kwenye nyekundu umefanya vizuri kusema. Kwa mujibu wako wewe mwenyewe uwezo ulionao umefikia kikomo hapo, kwa hiyo huwezi kusema kuwa mitume wote wametokea mashariki ya kati kwa kuwa tu uwezo wako umeishia hapo. Ulitakiwa useme, "mitume wote ninaowajua mimi wametokea mashariki ya kati" na sio kujifanya unawajua mitume wote wakati huwajui.
Na kwa taarifa yako hata kama mimi pia simjui mtume yeyote asiyetokea mashariki ya kati, hiyo haitakuwa na maana kuwa hawapo. Jaribu kutofautisha kutokuwajua na kutokuwepo kwao. Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Bwana Mjasiria pole sana... kwani hao waliokudanganya kuwa Mungu wa Quran ndie wa ukweli tena umefikia kuwapa ukuu wa x-christian hahaha.... kwa imani yangu mimi niliyesoma kiasi vitabu vya dini na baadhi vya historia za mitume walivyoanzia na mambo kadhaa kadhaa ya upatikanaji wa baadhi ya vitabu vilivyomo kwenye bible na kuhusu uislam wao wameweka wazi kuwa Koran imeshushwa japo haiingii akilini kwa mtu yeyote yule kiufasaha labda tu endapo kalazimishwa au kafanya sandakalawe na akaangukia kwenye uislam ndio anaweza amini Koran imeshushwa.. Historia ya koran tu inaonesha Shetwain alihusika au anahusika kwa asilimia mia kuwepo na koran na hiyo koran imecopy almost Torat aliyokuwa nayo Mtume wa YAHWH Mussa Myahudi ambapo Dini ya Kale kabisa yasemekana ni Ujahudi hadi leo hii bado ipo hadi Yesu katika maisha yake ya hapa Duniani aliifuata na akaiacha iendelee na alisema kabisa amekuja kuitimiliza Torat japo baada ya kuondoka kwake Duniani zikaja story zake kutoka kwa aina ya watu mbali mbali yalitokea mabishano mengi yasiyoisha hadi Tawala za wakati huo zikaweka baadhi ya ubishani kuwa ndio ufuatwe kilazima hadi ile Sabato ikabadilishwa na walianza kufuata baada ya kuunganisha dini za Miungu iliyokuwepo baadae na kuchanganya mambo ya Yesu na ya kwao siku za Ibada zikawa Neutral yaani Jumapili alimradi kila mtu asione amependelewa au kuonewa nchi zikawa na amani tena...Sasa huyo Mungu unayedai wa Waislam yeye mwenyewe alikili kuwa si Mungu huyo Allah... sasa wewe au nani anayeweza kubadilisha hayo maneno yake ati amegundua Allah ndie Mungu wa kweli???? wajua Alaah ni Sanamu? tena linafanana na lile la Farao.. usidanganywe kilahisi nawe ukayachukua na kuyatawanya utaingia mkumbo wa Mwamedi makosa aliyofanya yanaendelea kusababisha maovu vifo ubakaji hadi misikitini n.k ikiwemo kulazimisha watu waingie uislam kinguvu.. Waislam wanaombwa kila siku wamswalie kwa Allah Mwamedi ambaye hajuii Huyo Allah atamfanyia nini siku ya Kiama.... haya yote yameandikwa kwa waislam... sibuni ... ndio maana nasema tafuta ukweli ili upate kuwa upande ulio sawia...We naye unataka kuleta mada nyingine. God does not make scientific error. Ukianza kukubali suala kama hilo, huwezi kuwa na hoja mwingine akiamua kusema mti ni Mungu. Hivi utamjibu nini? Maana simply atakwambia kumbuka yeye ni Mungu hivyo anaweza kuwa mti. Mungu gani afanye scientific error halafu na wewe unajitahidi kuilazimisha akili yako kumeza bila hata kuchambua.
Mimi nimekutana na atheists kadhaa, wote ni ex-christians (kumbuka ni hao niliokutana nao mimi) na mojawapo ya hoja kubwa wanaoitumia ni kusema kuwa Mungu hawezi kuwa white man on the cross (it just doesn't make sense) na wapo wengi wamemkubali Mungu baada ya kumsoma Mungu wa Qu'ran.
Naungana na mdau hapo juu kuwa mnaosema yesu ni Mungu ndio mnazidi kabisa kuwavuruga hawa atheists. Hata mimi ningepata shida sana kuuamini "supposedly" uungu wa aina ya Yesu.
That is what most pro-God people have been doing all along in this thread. Why don't go through the thread again and If you don't want to see the proof, then may be you are not worth my time.
hasara hii huo mfano,haupo correspondent science and religion brought nature?Think big
Ulizia hao wanaotengeneza Mungu wao ,ila muumba wa Mbingu na Dunia usicheze nae utapotea Kama Malaysia airline .
I do not entertain the idea of a celestial dictator
Religion as a whole relies on threats and negative conditioning.
Where was god when this happened? What did the young kid ever do to deserve his wrath?
In the second question you have nothing to show how those scholars proved or wrote on "living thing are made from water", than just listing them and years when when they excisted.
Please answer the last question since you said the Quraan repeated what other scholars wrote.
Note that Quraan is not a laboratory.Its a book of Signs
Huyo ndo wanamuita mungu mwenye upendo mkuu na Huuma yote,ambaye hata usawa kashindwa kuuweka katika dunia aliyoiumba
Huyo ndo wanamuita mungu mwenye upendo mkuu na Huuma yote,ambaye hata usawa kashindwa kuuweka katika dunia aliyoiumba
Iko wazi kwa mujibu wa nani?!! Yaani hapa ndio unaona umejibu hoja?!! Kwa hiyo mimi nikisema wajinga wote wanatokea Australia, ndio inakuwa ukweli??!!!
Mungu hajakosea kwa kila jambo unaloliona,usawa upo maana kila mtu ataonja umauti. Kungekuwa hakuna kifo mngekuwa mpo sahihi na huo mnaoita usawa.
Where is the justice and equality in this? Where is your "loving" god?
At the end of the day No One will escape death . We r all going to bite the dust someday that s the equality. But justice will be dealt on the judgement day.
Where is the justice and equality in this? Where is your "loving" god?
why do you judge a creator you fool