There is no evidence whatsoever that proves the existence of a god, Based on this, I can comfortably declare that there is no good. I will be happy to change my stance if I am provided evidence that proves the existence of a god.
he created by him self.
qur an na sayans havitakuonesha vp mungu yupo ila tu utaona uwezo wa mungu katika uumbaji kama utahtaji evidence utakufa ukiwa mpingaji ila nakushaur ikiwa sayans ina kikomo chimbua upande wa pili nna hakika una iq kubwa kwa jins unavyo tetea hoja zako kisomi unaonaje ukajifunza qur an ili tu upate kujua udhaif uliopo ndani ya qur an kama waislam walivyojua udhaifu wa sayans silim hata kinafki tu then pitia hk kitabu cha ajabu kiundani nina hakika hakutakuwa na mtu wa kukuchanganya humu jf maana ikiwa wenzetu wametukimbia hata cc waislam tutakukimbia wewe ni mtu muhimu jifunze ujue muujiza wa qur an ecomicaly scientificaly and socialy then utakubaliana nami kuwa muhammad hata mwanasayans wa leo hawez kuandika kile kitab
Kuna vitu ndani ya Quaran vina shaka !

Wewe badala ya kujibu swali unaleta ujuaji mwingi na maneno yasiyo na maana. Hiyo theory ya Bing Bang inazungumzia uwepo wa explosion and expansion. Sasa acha ujuaji, kwa mujibu wa hiyo thoery yako how the heck did that explosion come into being. Some things transcend physical reality, your physics can not help you there.
Wakristo wengi duniani mnazidi kupoteza imani ya Mungu kwakuwa imani yenu imejengeka katika misingi ya ubabaishaji. Wengi ndio mnahoji uwepo wa Mungu, dhati yake na mengneyo ambayo kimsingi hamtopata majibu zaidi ya kuwa confused mwisho mnapoteza imani ya Mungu kabisa. Na mara zote kwa takwimu zinaonyesha watu wasiomuamini Mungu kama philosophers, psychologists and other great scholars wanajiua kwakuwa confused na mambo haya ya Mungu. Wanajitahidi kutengeza nadharia tofauti tofauti kuhusu Mungu lakini kuna point wanashindwa kuifikia finally they kill themselves. Pigana na shetani asikuhadae na kuwa na fikra chafu kama hzi za kuhoji uwepo au aliyemuumba Mungu.
There is no evidence for god, witchcraft, heaven or hell. All these are constructs of the human mind. Old and trite attempts to explain phenomena. Today, we have great opportunities to expand our knowledge of the cosmos and shed these simplistic, bronze age beliefs.
I choose to live a life based on evidence, and not blind faith. I choose to expand my horizons and sustain a sense of wonder, by admitting that I do not know and exploring the evidence based and verifiable bodies of knowledge that explain the universe.
I choose fact and evidence over blind faith.
Kwa wanaoamini Mungu Mtu (Yesu) basi aliemuumba huyo yesu ni Allah SW full stop.... (Inna Lillahi waina ilaihi rajoon)
Mna matatizo gani yie watu?
Hapa mada iliyopo ni nyingine kabisa wala haihusiani na hiki ulichokiandika hapa
Hivi hamjisikii vizuri bila kumzungumzia Yesu?
Mna ugonjwa mbaya sana nyie!
Yanahusiana, Yesu kaumbwa na hajaumba.....!
mitume yote ilikuja na miujiza kuonesha evidence kuwa wao ni wajumbe wa mungu eg mussa finmbo issa alikuwa na uwezo wa kuomba na kufufua ila kwa muhammad ni qur an ukiipitia na kuikubali kuwa ni kitabu cha ajbu kitabu cha hekima kitabu kisicho na shaka na ni kitabu ambacho hakiwez kutungwa na binadam basi umekubali uwapo wa m/mungu hakuna muujiza utakaokuonesha uwapo wa mungu now ila ni qur an pekee
Hii mada inahusu nini?
Who created god !?........Mungu hawi na sifa hiyo, 'akiwemo mnugu Yesu