Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
Wewe unaekataa kuwa MUNGU HAYUPO
You are asked to prove your assertions but your response is, that you cannot prove anything you are saying because it is outside space and time. That is the most ridiculous thing I have ever heard!
Have you been outside space and time, where you met god?
I believe there is hell for sinners and those who confess their sins will go to Heaven.
Hapa tu inaonesha hujui kiswahili ama kama unajua hujui umeandika nini!,,kubishana na wewe usiyejuaa hata ukanushi unatumika vipi ni kaz kwel kwel.""wewe UMEKATAA(ukanushi),kuwa mungu hayupo(ukanushi),haha
Then, Prove that universe and living organisms created from "Nothing"!!!
How if i say,this statement was interpreted from States,governments ruling systems and then dumped into religious beliefs ?,that thosecommit adult will go into jail and those who are safe will enjoy the life undisturbed ??
Matusi na jazba havisaidii katika kuelimishana,kupeana challenges,.Lengo langu halikuwa baya nilitaka kukuambia tu kwamba umekosea kuandika ulichomaanisha.,Lakini kwa kuwa umeanza matusi na jazba basi kila la kher
Who said the universe was created from nothing?
Asiejua maana usimwambie maana sasa wewe unafanya nini hapa kujibizana nasi?
God's Ten Commandments are the bridge to heaven unless you follow them but not in jail!!
then what is your point ?
Unaposema huwezi kujadili na mimj kwa sababu sijui kiswahili hapo ulikuwa hutoi kashfa sio?
Na kumalizia sentensi zako na kicheko cha dharau ndio kuelimisha huko.
Mkuu ukianzisha vita lzm uwe tayari kuimaliza. La km ubavu wako mdogo stick to the topic sio kukosoa watu kwenye vitu visivyokusaidia wewe wala thread yenyewe.
No hard feelings
Jibu swali wewe!
We unaejiita Atheist unaejua kumkashifu MUNGU
Define Death for us!
We mwalimu wako si GOOGLE?!
Sasa mbona hujajibu mpaka sasa. Unapiga bla bla bla!
Kama huwezi kutuelezea na tukaelewa MAANA YA KIFO basi wewe na hao wenzako muonekane hapa kuwa HAMNA LLT MLIJUALO,
Basi ni wababaishaji wanaotafuta umaarufu usiokuwa na maana.
Jibu swali wewe!
We unaejiita Atheist unaejua kumkashifu MUNGU
Define Death for us!
We mwalimu wako si GOOGLE?!
Sasa mbona hujajibu mpaka sasa. Unapiga bla bla bla!
Kama huwezi kutuelezea na tukaelewa MAANA YA KIFO basi wewe na hao wenzako muonekane hapa kuwa HAMNA LLT MLIJUALO,
Basi ni wababaishaji wanaotafuta umaarufu usiokuwa na maana.
Do you even know the origin of ten commandments ?,do they fit nowadays ?,Aren't they only for what the Israelites did after mussa,s departure to snai mountain?,read them again please u may discover something
My point is, there is no god. A deity, a god, or creator is not responsible for the universe. Men "created" god.