Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Where the flashes of light came from? who created them?"Who created God " is an illogical question,no doubt,but not to every one.
Nimeona simulizi za Creation ambapo dunia inajitengeneza yenyewe,bila Mungu kutajwa,halafu,much,much later,Mungu anatokea.
Ulimwengu inajirengeneza wenyewe. Inasimuliwa namna hii: a flash of light comes from one side( positive), another flash of light comes from another side(negative), they approach one another at a tremendous speed. When they collide,there is a big explosion and a universe is started.
Kwanini mpaka iwe 'who'?Where the flashes of light came from? who created them?
You are the one who agreed the BBANNG.We are agreed the origin of the universe is the Big Bing Bang. Question- do we need a God to set it all
up so a Big Bang can bang?
Hizi mada huletwa na watu wasiokua waislamu mpk kupelekea wao kumkufuru Muumba waoHabari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.