Iowa walivyofaidi white X-Mass, full kufukua magari yaliyoshindiliwa na snow kwa shovel, nikikumbuka hii machungu ya nchi hizo hata hamu sina kipindi cha winter. Unapiga pedal tairi zinazunguka tu kana kwamba gari iko juu kwenye crane.
Umeona jama anapiga moto sana tu huku akisaidiwa na wadau lakini matairi ya mbele yanazunguka tu na kurusha juu ungaunga wa snow. Hii balaa sitapenda inipate tena. Hii ndiyo raha ya winter huko ughaibuni.