Kuna watu wana hypocrisy sana hapa. Utawasikia Wamarekani immoral, violent, hawamuheshimu rais wao etc.
Wakati sie wenyewe tuna mitatizo kibao, mtu anajifanya mcha mungu kumbe mlingotini hakosi, mtu akiona one random shooting ya kuua watu 20 US anasahau kwamba huku Africa tunauana kwa mamilioni, anasema watu hawamuheshimu rais kwa sababu hawana democracy, wakati wanaweza kumdharau rais kwa sababu wana democracy ( try that shyt in Saudi Arabia and see).
Halafu hapo hapo watu wanajaa ubalozini kutafuta viza, na vyandarua vya Dubya hawavikatai, wakipata matatizo ndugu zao walio Marekani wanawasaidia etc etc.
I am not saying the US is a heaven of morality, it certainly has a lot of deep rooted issues, but bejeez, get off the high horses for a min and take a good look around you before getting this highfallutin highandmighty holier than thou attitude.