White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

TED CRUZ akitoka nje kabisa Castro alivyoongea
 

Bush na Obama walipanda ndege moja.Na democratic na republican senators waliozaliwa Cuba ndio walioanza Kelele Pia wamarekani wapo Jela huko Cuba .Na Mrusi yupo na Cuba tangia Batista aondoke Kasheshe lilianza Kennedy ( democratic Enzi hizo Fanya research sio chuki tuuu
 
ZeMarcopolo usishangae kama huwajui. Soma hapa

Hatuhitaji degree kuweza kuwaelewa wamarekani
 
Asante kwa ku-edt post yako ya awali, sasa iko sawa.

Sija-edit kitu, kongosho wewe. Ninge-edit baada ya thread kujibiwa ungeona maelezo chini ya post kuwa imekuwa edited. Acha kiherehere na kukurupuka bila kusoma kwa makini
 
I see, wee bingwa

Sija-edit kitu, kongosho wewe. Ninge-edit baada ya thread kujibiwa ungeona maelezo chini ya post kuwa imekuwa edited. Niache na kiherehere na kukurupuka kwangu bila kusoma kwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…