Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Its all good,historically immigration is a good thing,hope wangeenda na TZ may be wangepeleka na culture yao ya hard work & kusaidia wabongo kuacha kuacha longolongo
Aisee Rufiji acha kupoteza muda wako na hawa jamaa. Kuna kitu kimepungua/-legea kwenye bongo zao. Ingefaa wajue pia kutawaliwa na wakoloni kulianza hivi hivi. Mara ya mwisho walianza kuja kama waenezaji wa dini na biblia mkononi na waafrica punguani wakawasheherekea. Wakenya wengi bado wamejawa kasumba ya muzungu. Ni watu wa kuwasikitikia na kuwaacha waendelee "kujigamba" wakati wanaliwa. Kasumba ni sawa na ugonjwa sugu. Waswahili husema debe tupu haliachi kutika!Koba,
What is wrong with you guyz? Why you are so obssessed with Tanzania? It seems a sentence can't be complete without bashing Tanzania. Frankly speaking, it is so annoying and it shows how myopic you are.
Mwali huu uongo hao wakenya ni afadhali wajidanganye wenyewe maana yake kama wangejua hao wazungu wanaowaonaje wakenya wasingependa kusema hayo wasemayo. Tatizo la wakenya ni kufikiria kwamba wazungu wanaowaona ni watu wa maana kuliko waafrica wengine. Huu ni upuuzi wa hali ya juu!Mbona kwa mtindo huu future ya Europe iko mashakani? Maana kwanza average population inazidi kuzeeka, na familia hazitaki kuzaa. Sasa kama tena ile scarce active force itakuja Afrika kutafuta kazi sijui itakuaje kule kwao in 100 years...
And so? Middle income status measured by which yardstick? Why are some Africans having such a low self esteem?Kenya could be the first EAC country to reach Middle Income status by2020.Right now in Nairobi a group of young people are meeting for a Startup Weedend Nairobi. These young aspiring entrepreneurs will put together companies that will produce new jobs and streams of income.
There is a new trend in Kenya, illegal white immigrants in Kenya who come to the country for better job prospects. Europe has been hit by an economic crisis and high unemployment rates. Many Europeans, the lost generation, are now immigrating into countries like Kenya and South Africa looking for brighter prospects. They are called the1000-Euro generation, i.e. the generation of European graduates, particularly in Southern Europe, trying to find work in tough economic times and often settling for low paying jobs earning 1000 EUR per month. 1000 EUR might be a lot of money in Kenya but in Europe, with the high living standards, its peanuts. So many opt for Kenya where they typically earn over 1500EUR per month doing jobs such as journalism, non profit work, grant writing, missionary work etc. To navigate Kenyas tough laws on expatriates, they use various methods including the paying of bribes to immigration officials to secure work permits.
This is a very interesting and ironic twist to the question of international immigration. While many Kenyans and Africans are struggling to get to Europe for brighter prospects, many Europeans are trying to get to Kenya for even brighter prospects.......
SOURCE
hahahahaaa!!!!We actually need that influx of europeans becasue they have skills they can export from their countries and implement here in East Africa. for me I am for the Idea 100%. It seems tides are turning backwards.
What about our own graduates who are unemployed kwa sasa? huoni kama kutakua na competiion zaidi kupate the scarce available jobs?We actually need that influx of europeans becasue they have skills they can export from their countries and implement here in East Africa. for me I am for the Idea 100%. It seems tides are turning backwards.
hahahahaaa!!!!
Hivi unajua skills export ni kitu gani?
Yani a bunch of unexperienced Muzunguz wakija kufanya 1,000 Euro jobs (kazi za kwenye NGO and the likes), ambazo hazihitaji utaalamu wowote wa maana, kwanza ni kazi zinazotakiwa kufanywa na vijana fresh from school, wewe unaita skills export?
Are you insane?
Na ukisema the tide is turning backwards..............yani kwamba enzi za kukimbilia Ulaya kwa ajili ya maisha mazuri, - kwenda kupika mandazi na kufagia....sasa wao wanakuja kuchukua 1,000 Euro jobs nyumbani kwako na unachekelea?
Hovyo kweli kweli!!
1500 EUR per month is nothing. Indians make twice that or even more per month in East Africa. We need to teach these Europeans about how to make money in East Africa. There is plenty of money to go around.
What about our own graduates who are unemployed kwa sasa? huoni kama kutakua na competiion zaidi kupate the scarce available jobs?
hahahahaaa!!!!
Hivi unajua skills export ni kitu gani?
Yani a bunch of unexperienced Muzunguz wakija kufanya 1,000 Euro jobs (kazi za kwenye NGO and the likes), ambazo hazihitaji utaalamu wowote wa maana, kwanza ni kazi zinazotakiwa kufanywa na vijana fresh from school, wewe unaita skills export?
Are you insane?
Na ukisema the tide is turning backwards..............yani kwamba enzi za kukimbilia Ulaya kwa ajili ya maisha mazuri, - kwenda kupika mandazi na kufagia....sasa wao wanakuja kuchukua 1,000 Euro jobs nyumbani kwako na unachekelea?
Hovyo kweli kweli!!