Royal savanna herd
Member
- Jul 9, 2026
- 5
- 18
Ni ng'ombe mzuri wa nyama ni ana umbo kubwa nimemuona kwenye shamba la Jamaa Fulani anao wengi na bei ni kubwa..ngoja tuwaite wadau wa ufugaji wa jamii forums uzi huu unawahusu.
..tukiwapata hao watawavuta na wengine kuchangamsha hili bandiko.
Cc MUBENDE , CHASHA FARMING, Imani rubaba
Asante kwa maoni yako. Kila breed ina ubora wake. White Brahman inajulikana kwa uzalishaji mzuri wa nyama, ustahimilivu wa mazingira ya joto, na ukuaji wa haraka. Fulani ni nzuri pia, ila uchaguzi unategemea malengo ya mfugaji.Ni ng'ombe mzuri wa nyama ni ana umbo kubwa nimemuona kwenye shamba la Jamaa Fulani anao wengi na bei ni kubwa
Asante sana kwa mchango wako. Umeeleza jambo la msingi sana. Mbegu bora huleta matokeo mazuri pale zinapopewa matunzo bora. Ufugaji wenye mafanikio ni mchanganyiko wa mbegu bora, lishe bora, afya bora na usimamizi mzuri. Karibu tuendelee kujifunza pamoja. 🤝🐂Uzuri wa hizi Mbegu zitakupa matokeo mazuri kama utazitunza vyema, na huo ndio mtihani wetu mkubwa sana sisi wafugaji, tukishasikia sifa ya hizo mbegu basi hatuangalii na kufwatilia jinsi ya ufugaji wake.
Malisho ni ya umuhimu sana hasa ujue unawalisha majani na virtubisho gani hii husaidia kumfanya Mfugo wako awe katika hali ya kuweza kukuletea faida mfugaji.
Usafi wa Mfugo wako mabanda na kumwogesha kwa Dawa maalum itakusaidia kumwepusha Mfugo wako na magonjwa ya kuambukizwa na wadudu mbali mbali.
Dawa na chanjo kwa muda sahihi hii ni msingi bora sana wa kuujenga mwili wa Mfugo wako aweze kufikia Kg/umbo stahiki na Mfugo wako.
Kumwondelea stress Mfugo wako ni jambo la umhimu sana litakalo kusaidia kufanya Mfugo wako awe ktk hali nzuri.
Mbegu bora, matunzo bora, usimamizi ndio nguzo imara ktk mradi wako. Mbarikiwe.
yes there will be more up coming post of different breeds JokaKuu
Ukiwaona Mbogo Rachises 0784785784 Mulla, huyu ni mkurugenzi wa Mbogo Rachises..mbegu za Brahman zinapatikana wapi hapa Tanzania?
+255 693 473 994 whatsapp nummber..mbegu za Brahman zinapatikana wapi hapa Tanzania?
+255 693 473 994 whatsapp nummber
Barikiwa sana.+255 693 473 994 whatsapp numasa