Sidhani kama Zitto ana matatizo na ku review mikataba, alichokuwa anaongelea Zitto ni kusababisha unecessary Panic kwa wawekezaji kwakuw abado sisi kama nchi tunawahitaji hawa.
kwaio wewe kama kiongozi wa chama unakub ali kwamba zito anachukiwa ndani ya cdm...bora wewe umeongea ukweli maana kosa lake atokei kaskazini.
Tatizo la mitanzania mingi inaacha kujadili hoja inajikita kumjadili mtu na wakenya wanazidi kutuacha kimaendeleo
Kiswahili jamani, tafdhali, hivi tatizo la shule za kata mpaka kwenye kiswahili? Anyway ujumbe umefika lakin
Tatizo la mitanzania mingi inaacha kujadili hoja inajikita kumjadili mtu na wakenya wanazidi kutuacha kimaendeleo
Labda tungeipata mikataba hiyo tukaona 'termination of agreemant' inasemaje.
Kuna baadhi ya mikataba kama ukizubaa makampuni ya nje huwa yanapenda kusema, huwezi terminate mkataba hadi wao waamue, so kama tulilala kwenye hii term tunaweza kupoteza vile vile.
Halafu Pan African kutotimiza obligations zao ni uzembe wa TPDC wenyewe, maana kama malipo halali hayajafanyika wao wako wapi?
Mkuu, naamini wengi watampa support Mh. Zitto baada ya kujua anaongelea nini. kikubwa tuwaelimishe wananchi wajue anachojaribu kukipigia kelele ili na wao waongee lugha moja na Mh. Zitto na sisi tunaoamini he is doing the right thing.Moja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti. Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu. Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima. Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.
Ah! Lugha ya wakoloni hiyo ndiomaana wachangiaji wengi wanaikwepa.Mbona wacha ngiaji kwenye mambo ya lugha za kigeni wanapungua, naamini asilimia kubwa ya mawazo aliyonayo Zitto ni mazuri kwa maendeleo ya Taifa letu ila kuna watu ambao wamefundishwa na wamelelewa na makundi ya watu fulani kubisha BUT Hon Zitto dont give up, you will overcome all tyranny.
tatizo viongozi wenzake wanamchafua kwa kuogopea viti vyao. Anapigwa vita kwa sababu ni peke yake mwenye nia safi CDM.Mkuu, naamini wengi watampa support Mh. Zitto baada ya kujua anaongelea nini. kikubwa tuwaelimishe wananchi wajue anachojaribu kukipigia kelele ili na wao waongee lugha moja na Mh. Zitto na sisi tunaoamini he is doing the right thing.
moja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti. Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: Kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu. Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima. Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.
tatizo viongozi wenzake wanamchafua kwa kuogopea viti vyao. Anapigwa vita kwa sababu ni peke yake mwenye nia safi CDM.
Tatizo la mitanzania mingi inaacha kujadili hoja inajikita kumjadili mtu na wakenya wanazidi kutuacha kimaendeleo
There is nothing wrong for someone to have his own views different from other people but one has to be consistent in his views on similar issues!! Tukumbuke kuwa zitto was in the forefront kutaka mikataba ya madini iwe reviewed and he was rewarded by Kikwete when he was included in the Bomani committee which recommended the changes in those mining contracts; now when Prof. Muhongo advocates the review of the gas and oil exploration contracts the same Zitto comes out crying that it was not in the best interests of our country to review those gas and oil contracts!!! Zitto's stance on this issue smacks of hypocrisy and incosistency in his arguements!!
rudi tu chichat bidada,uku hupawezi...
Point yako kubwa sana.
Hivi mwerevu akimuona kilaza anapayuka ana haja gani ya kumjali?
Na akimjali nani wa kuchunguzwa zaidi??
think Judy Think
asante kwa kunitambua hadi kujua nakopendelea kuwa, wee ni nani?