which programming language to start with? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

which programming language to start with?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chilubi, Jun 22, 2012.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu,
  Nataka kujifunza programming language kidogo, its my hobby and also i have plans. Sasa nimeanza kwa kutaka kujifunza JAVA, ebana hii kitu i dont think kama ni nzuri kwa beginners maana inachanganya kisha ukiwa katika development enviroment ndo kabisa nlikua naona marue rue, maana sijui mpaka uimport functions ambazo hata sijui uzitoe wapi, ilimradi ngoma nimeanza kuiona ni ngumu. Nilikua natumia netbeans.
  Nahitaji kujua kutengeza application za android, nikaona nijifunze java lakini ndio hivo. Hivi kuna alternative yoyote ile? I mean which language is the best to learn for beginners?
   
 2. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Anza na C language maana language zote base yake iko kwenye C then baada ya hapo ndo uanze OBJECT ORIENTED PROGRAMS(OOPS) kama C++ na zingine,JAVA nayo inabidi uanze na basic JAVA then ndo uende advanced JAVA ambayo itakupa upeo wa kuanda hizo application,unahitaji kujipanga vizuri C language ya msingi kuimaster coz ukiiweza hiyo remaining language hazitakupa tabu sana.
  Ushauri wangu jipange vizuri maana hizo language siyo kiswahili ziko tight ila ukijipanga fresh utafanikiwa
  All da best!
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  inategemea unataka kutengeneza program za aina gan. Kama unataka kutengeneza application za kawaida anza kujifunza BASIC tena jifunze Visual Basic.Net kwa sababu kama jina lake lilivyo BASIC(Beginners All Purpose Symbolic Instruction Code) au Python. Kama unataka kutengeneza OS au program web browser basi jifunze C++ au Visual C++
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Usianze na C hayo ni makosa, anza na lugha modern kidogo Java, C# au Python. Uzuri wa C# (.Net) development environment yake ni nzuri sana na haina setup process isiyoeleweka unadownload na kuinstall Visual Studio Express unaanza kazi http://www.microsoft.com/visualstudio/en-us/products/2010-editions/express . Hauhitaji kujua C kujua C++ wala kujua Java na zaidi ya hapo haitakusaidia kujua Java.
   
 5. rickymj

  rickymj Senior Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmh I dont think starting with C might be a major problem but ol I know as far as back u can master HTML ambayo its easy then go C language which makes majority exploits and makes some powerful hacking program+viruses then go in a series as Satellite posted thea above.
   
 6. N

  Nyasiro Verified User

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sio kama naiogopa C/C++ hapana. Ninaelewa uwezo mkubwa ulionazo program hizi na program zenye nguvu ambazo ni zao la hizi language mfano Windows 95 imetengenezwa kutumia C++. Language kama C na C++ ni nzuri kama mnafanya programming as a team kila m2 ana deal na part flan ya program kama sivyo utaumiza kichwa na utatumia muda mwingi sana kwa mfano program utakayotengeneza kwa wiki 1 katika Visual Basic unaweza kutumia miezi hata 6! katika Visual C++ . Achana na akina C we jifunze VB utaona raha.
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  My view: Anza na scripting language ya PHP(provided kwamba tayari una knowledge ya HTML). Itakuintroduce kwa vitu vingi ambavyo viko similar na languages nyingine. From PHP ndio nenda kwenye languages nyingine like visual Basic, C , Java ,etc.
   
 8. c

  chilubi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa ushauri
   
 9. c

  chilubi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Napenda kuwashukuru nyote mlionisaidia katika mawazo, kwa kweli michango yenu yote mizuri.

  By the way VISUAL BASIC naskia ni mambo ya kudrag and drop and program ilotengenezwa na VB ni easy kuwa exploited!
   
 10. N

  Nyasiro Verified User

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni language nyingi zinasupport drag n drop mf. utahitaji kuchukua button na kuiweka unapotaka hata VC++ ni hivyo. Kuhusu program kuwa exploited hapo inategemea techniq zako. Kila program iliyotengenezw kw language yoyote inaweza kuwa cracked mbona OS zinakrakiwa...
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Start with the theory of introduction to software development to understand the meaning of java data types, variables, reserved keywords, symbols used etc ukishamaliza start with JCreator (is a java platform) to create basic applications (file processing) eg. program to calculate summation, product, string manipulation, use of different kinds of loops etc JCreator is a friendly language to beginners..it has simple syntax & error handling features.

  Once you'd mastered Jcreator then move to netbeans, rewrite everything you did in JCreator to netbeans.. once you have done that then start to think of OOP with netbeans.. do theory of OOP starting with basic definition of class, object, parameters, inheritance, polymorphism etc then start to implement simple applications with specific technique starting with inheritance... later on you'll combine different techniques.!
   
 12. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Start with Q Basic
   
 13. rickymj

  rickymj Senior Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yeah amigo ths I ol knw
  masterng HTML+PHP 'll b linkng u appropiately 2 the rest.
   
 14. Codezilla

  Codezilla Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey,i'll advice you to start with python.it's really easy to learn and it quite powerfull...by the way it's a pre-requisite for one to work at google...take this hello world script >print 'hello world' that simple no importation of many functions:
  > def bodyMassIndex():
  '''simple program that calculates body mass index'''
  height = input('enter your height')
  weight = ('enter your weight')
  BMI = height/weight
  print 'your BMI is:', BMI

  >bodyMassIndex()
  thats an example of a function in python....compare that with other languages,you'll notice python is quite simple.....and their is jython a java module that works with python.....so start with python then you'll learn other languages easily...
   
 15. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  SS mtu atajifunzaje modern language kama hajui msingi?atacreate vipi class,variables,atafanya vipi inheritance ya class na variables zake kama hana msingi wa language?hiyo C# uliyosema atajifunzaje kama hajui msingi wa C?najua java iko for beginners but msingi wake uko C maana ni rahisi mtu kumaster language yeyote ile kama anamsingi mzuri wa C.modern language nyingi ziko OBJECT ORIENTED kuliko C ambayo siyo OOPS language.Ni kama vile unamwambia dereva aanze kujifunza gari ya automatic badala ya menu ambayo itamfanya ajue zote.
   
Loading...