Maresca
maresca
Mbona hujamtaja Maresca?
Kuna watu vichwa vitaliwa mapema sana. Kuna management haziwazi mara mbili. Tottenham na NottinghamKitu cha kuelewa hapa ni kwamba board haimfukuzi kocha kwa kuangalia matokeo ya mechi moja au mbili tu.
Kuna mchanganyiko wa mambo unaangaliwa matokeo, performance ya timu, nafasi kwenye ligi, hali ya dressing room, malengo yaliyowekwa mwanzoni mwa msimu, pamoja na kama kocha bado ana support ya uongozi.