El murjeb, Software engineering (SE) ni subset ya Computer engineering (CE). kama unapenda ku deal na hardware pamoja software kasome CE ila kama unapenda ku deal software in deep kasome SE.
ukiangalia kozi za SE utaona ina baadhi ya masomo ya electronics ila kozi zake nyingi ni zimebase kwenye software development and management.
NB: Kufanikiwa kwenye fani zozote za computer au IT zinataka mtu mwenye passion na mwenye moyo wa kusoma hata baada ya kumaliza chuo.
Ukienda kusoma kwa sababu ya ajira/pesa jiandae kuisoma namba ukimaliza chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatofautiana kidogo sana ila Kama ulikua mtundu na unapenda kutengeneza vitu tangible soma computer engineering ila kama una ideas za kutosha kurahisisha maisha kwenye dunia hii kupitia technology soma software engineering
Utasoma computer programming,network,automation,robotics,instrumentation...Na kama ili pia uwe vizuri kwenye software lazima ujue hardware yaan electronics Maana hizo software utakazo tengeneza huwa zinatumika kwenye hardwares so computer engineering utajua vizur pia how compatibility ya software zako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kwa ufafanuziiKijana,I am computer engineer nimegraduate juzi tu hapo DIT....Nenda kapige computer engineering iko wide sana hapo utasoma vyote vya software and hardware....
Sent from my iPhone using JamiiForums