wee hata sio wote wanaokuja tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!
Baadhi ya hawa watu wana dharau sana....yaani huyo mama yako ningekuwepo ningempa zawadi....Naona wengine walishangaa,maana wabongo wengine wanaona wazungu kama miungu wadogo lol
na mimi nilitaka kusema labda sababu ya umasikini ila nikasita kwa kuwa mbona sisi ni masikini kuliko wao na bado tuna upendo?
Wee hata sio wote wanaokuja Tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.Weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!
out of topic kuna visiwa vinaitwa trinidad na tobago yani nimejua mwaka huu. Ni nchi ndogo sana duniani ila ni very rich. Namuomba mungu anijalie nikipata pesa nikatalii. Yaani wana among busiest airport duniani. Kama wapenda geography google mtaona. Kuna sehemu mbili za kwenda duniani huko na seashells. Sasa nimekonnect na story baada ya kujuana na mdada anayetokea huko ana roho nzuri sana nikasema ngoja ni google hiyo nchi anayotokea nilichoka. Very beutiful, rich and small.
lakini tushajiuliza kwa nini tunadharauliwa au tunakimbilia tu oooo rangi zetu,sijui nini.
Sikujua kwamba ni matajiri....Out of topic kuna visiwa vinaitwa Trinidad na Tobago yani nimejua mwaka huu. Ni nchi ndogo sana duniani ila ni very rich. Namuomba Mungu anijalie nikipata pesa nikatalii. Yaani wana among busiest airport duniani. Kama wapenda geography google mtaona. Kuna sehemu mbili za kwenda duniani huko na Seashells. Sasa nimekonnect na story baada ya kujuana na mdada anayetokea huko ana roho nzuri sana nikasema ngoja ni google hiyo nchi anayotokea nilichoka. Very beutiful, rich and small.
Embu tuambie biShosti wewe umejiuliza?!Majibu yalikuaje?!lakini tushajiuliza kwa nini tunadharauliwa au tunakimbilia tu oooo rangi zetu,sijui nini.
hahahahahahhahahahahahah sijajiuliza!!!!!!Embu tuambie biShosti wewe umejiuliza?!Majibu yalikuaje?!
Nafurahi kuona umefurahi mpaka ukaangua kicheko kinachoweza kuamsha majirani!!hahahahahahhahahahahahah sijajiuliza!!!!!!
Hivi Venezuela iko Europe? Mimi najua ipo Amerika ya kusini.Walatin wenyewe wanakwambia wazuri wako venezuela. Na wazuri wenyewe si wale wa asili ya spain ni wale indigenous au mix.
Na hiyo dhana ndo aliyotaka kuendeleza Hitler...kutengeneza taifa la watu safi tu la watu wenye nywele za blonde na macho ya blue!!Kwa data hizi inaonesha wazuri zaidi ni "blondes", lakini kwa mapenzi yangu, wanawake weusi au "brownskins" ni wazuri zaidi. Kwa sababu hiyo, ninabaki na Waafrika kwanza, wakifatiwa na walatini (the Mediterranean: Spain, Portugal, Italy, France, Greece, Malta,Turkey.... and Latin American women).
Unataka tujue kuwa uko ulaya??? Unaangalia Nchi au roho na moyo wako unapopenda acha ushamba dogo vipi wewe?? Ohhh sory nime lala nakunywa Valuu mixer na Safari
lifeofmshaba
Location : London
Posts : 594
Rep Power : 22
[h=2]Re: Which country in europe has the most beautiful women?[/h] hii ni kweli kabisa kwa kuzingatia UK haipo maana wana wanawake vituko
Mi naonaga wanawake wa uk wazuri wana miguu mizuri ila ndio hivo tena ubaguzi kwa kwenda mbele