Which African Countries Speak their native language as the national language


Duh kazi ipo, haya bwana umeshinda kwenye siasa, ila usinitoroke mimi siwezi kukudhuru, Warwanda ndio wanakutafuta wakubadilishe uwache vituko vyako vya kuwachonganisha. Na hata huku jamvini nadhani wangekua na haja ya kukushika wangelikushika zamani maana it's not enough, hujajificha sana maana unaweza fuatwa tu kwa kutumia IP address na mbinu zingine nyingi.
 

maneno ya muhimu ni hapo kwenye red tu, mengine hayo wachana nayo (sauti ya kanyari)
 

asante sana lawmaina78... jMali, hemu niambie na mimi multiple ID zangu nijue nani ana hack ID yangu
 
Last edited by a moderator:

AAhh umejikuza kweli kweli, nani anashida na wewe? kwani unadhani umejificha saana. Hata kidogo! you are nothing nobody can be bothered about you, ungekuwa ni tishio kama unavyofikiria, wala isingekuwa shida, kuna wajanja na wataalam wa wamejaribu kukimbia vivuli vyao but.... anyway usijiweke sehemu usizostahili, wewe ni muathirika tu wa mauaji ya ki mbali, you are just traumatized you need some councelling. inawezekana sana ulionja joto ya jiwe binfsi au through your parents as a result you are traumatized. Kuna jamaa alikamatwa mwaka 1995, alikuwa anatembea na kafuvu ka mtoto mchanga ambaye alimwua, alikuwa hawezi kuweka chini hako kafuvu kwani kila akikaweka chini yule mtoto alikuwa analia kichwani kwa jamaa basi, alikuwa anatembea nako amekaficha kwenye mkoba mpaka alipo kamatwa akakanyanganywa kwa nguvu na kufanyiwa councelling ya muda mrefu. ilichukua zaidi ya mwaka kwa huyu muathirika kurejea hari ya kawaida. Any way na Jean Marie Runiga (Runigampinja) you need a massive councelling.
 
maneno ya muhimu ni hapo kwenye red tu, mengine hayo wachana nayo (sauti ya kanyari)


Ndugu yangu jMali mbona unaniangusha! Mi nilikuwa sjuwi kama wewe ni mzee ujiko hivyo, huyo mkenya kweli ni mfanyabiashara kama asemavyo; jinsi anavyokubananisha nakuachia, halafu ulivyo mmjinga palepale alipokuachia upenyo ndio unapataka, eti "umeshinda kwenye siasa" na wewe bichwa hilo...
Wakenya achana nao, wazungu wanatoka ulaya kwenda kutazama mlima Kilimanjaro kenya, sasa hao ndio watu wakukupa ujiko nawee ukubali?
Hizo tabia zako za kuchagua cha kuambiwa ndio zinakuharibia, kama kweli unataka kufanya siasa ya kweli, yakudumu na kupendwa kwa vitendo vyako vyema basi wacha chuki urudi kwenu.
Hao unaosikia wakiyeyuka huko nchi za nje usifikiri ni mikono ya ndugu zako! Mi nafikri niwale mabasha zako wakifaransa ila chamuhimu nchi zinazowatunza lazima ziwajibike, hivi ni namna gani unaweza kuniambia kesi imeibuliwa kwa sababu ya shahidi mpya aliyejitokeza, na jina likawa siri mda wote huo, kivipi unaweza kumyima ulinzi, ukizingatia serikali yetu ishasingiziwa kesi zaidi ya mia nchini Kenya tu, nchi nyingine ndio hatusemi kabisa!
Mi naona kilichobakia, sisi waafrica wenyewe inatubidi tuanze kushughulisha akili na kushtukia dili za wazungu, hainingii akilini kuona watu wanatangazia dunia eti kesi imeibuliwa kutokana na ushahidi mpya na usimpe ulinzi, tena Nairobi
 
lawmaina78, sion kwenye siasa, ni kwenye jamiiforums tu. nje ya hapa he cannot last 5 minutes.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…