WHERE lie can do better don't tell the TRUTH.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Wakati tunaendelea kuomboleza vifo vya jirani zetu kenya kwa mkasa mbaya wa kigaidi nawapa pole wote walioguswa kwa namna moja ama nyingine na Mungu awatie nguvu wote waliowapoteza watoto wao,wapenzi wao,wake zao,waume zao,wajukuu zao,bibi zao,babu zao,jirani zao,ndugu zao,rafiki zao nk.MUNGU AWABARIKI WOTE.
BACK TO TOPIC.
katika tukio la ugaidi kenya,ILILAZIMIKA HATA KUTUMIA UONGO ILI KUOKOA MAISHA.
angalizo:mada hii isijadiliwe kwa tofauti ya kidini na kama huwezi kuchangia maudhui ya mada kuwa"WHERE LIE CAN DO BETTER DON'T TELL THD TRUTH"bora usichangie kabisa.
yale magaidi yalikuwa yanawaachia bila kuwadhuru wote walio waislamu,lakini haikuwa rahisi.KILA CHUMBA YALIPOINGIA yaliwatenga waislamu na kuwaachia na wanaobakia wanamiminiwa risasi.Lakini ilikuwa shariti ufuzu mtihani kwanza kwa maswali yaliyokuwa yanaulizwa kudhibitisha kama kweli wewe ni muislam,mfano wapo waliosalimiwa kwa kiislamu,Mama wa mtume Mohamed ni nani nk.
KWA UPENDO WALIOKUWA NAO WAISLAMU walilazimika kuwaelekeza WAKRISTO wakakwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…