Nadhani Magamba wamemua kumweleza ukweli kuwa kihelehele chake na Firts Class yake vinakiua chama badalaya ya kukisaidia. Kwani alikuwa anasimam kila mara na kutoa michango ambayo mingi ilikuwa inaibua maswali mengi na kukichafua CCM! Lkn nampongeza kama ameweza kusikia ushauri na kutulia, huo ndiyo utu.