Aiisee naona ma untouchable 2 ndo wanametameta lakin ndan ful uozo wana2mia mbinu za kisiasa saf na chafu wanachekeana huku kila mmoja anawaza huyu atakufa lin na yule atakufa kwa stail gan,politx kama kuna kikwazo cha maendeleo ni kukitoa bora m2 afe..