Where is my Boaz??

Kwanza unaonekena mbaguzi na mkabila sana eti mchaga? Ila kwa sifa zako hizo labda utengezene mgomba uupe hizo sifa
 
Kwanza unaonekena mbaguzi na mkabila sana eti mchaga? Ila kwa sifa zako hizo labda utengezene mgomba uupe hizo sifa
Mbona umepanic sana mkuu, mimi si mchaga ila ningependelea kuwa na mchaga tho makabila mengine sijayakataaa
 
Mungu akusaidie upate kama unavyohitaji.
Jioni njema.
 

Utafanikiwa, as long as umeweka nia.

Ila pia jiandae na zoezi la kuchambua mchicha na magugu.
 
Ni rahisi sana kumuona chawa akiongozana na kundi la mbuzi lakini sio mchaga asiye tumia pombe
 
Huko Chuoni hukumuona anaekufaa msomi mwenzako?, Unatafuta mfanyabiashara mwenye Elimu ndogo hata STD 7! Si utampangia hadi zamu ya kuosha vyombo na kutandika kitanda? Nakushauri kajibebishe kwa kwa huyo mzazi mwenzako ili mrudiane.
 
Baba wa mtoto amekufa.!? Tuambizane mapema baadae tusijekabana koo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…