WHERE IS MR. EDWARD NGOYAI LOWASA

Mabeberu

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
79
Reaction score
142
Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi.

Huu ukimya wake pia hapana.
 
Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi.

Huu ukimya wake pia hapana.
Kile alicholazimishwa Na kulazimika kukifanya kurudi kule walipo mkataa Mara ya kwanza Na kutelekeza wale waliompokea, kumuamini, kumpigia kura Na kusimama nae Daima... .. Kitamtafuna na kumnyong'onyeza Daima. . Ujasiri wa kutokea kwenye mikusanyiko kifua mbele hata upata tena
 

Ulipo tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…