Where is Dr. Philip Emeagwali?

Where is Dr. Philip Emeagwali?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,015
Reaction score
24,958
In the nineties, a man in the name of Dr. Philip Emeagwali emerged as an African mathematician who developed mathematical theories that made the internet possible. For a long time I have never heard of him, where is he?
 
Kichuguu
Jamaa ni bonge la fraud. Ni kweli ana akili fulani lakini most of his achievements ni za kujipakazia. Kwanza hata huo udokta wenyewe chuo kilikataa kumpa baada ya thesis yake ya Phd kufeli.
Anafanana na mzee fulani hivi hapa bongo mwenye phd isiyotambulika, ambaye ana biashara ndogo lakini amewadanganya kina forbes kuwa ana utajiri wa $bilion.
some jinsi alivyoungaunga here: How Philip Emeagwali Lied His Way To Fame | Sahara Reporters
 
jMali unamuongelea mzee wa kuwalisha watu wenye ulemavu kila mwaka nn ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom