Where is CUF?



CUF ipo CCM.
 
Wapo. Wamebakia katika ngazi za kata na wanafanya mikutano yao vichochoroni kule.
 
Mke akiisha olewa hana la kusema mbele ya mume wake.
 
washaolewa na CCM gamba unategemea nin ndugu yangu, wamepatiwa penshen wanakula ikiisha sijui wataenda wap.
 
Umesahau kwamba walipewa kazi na CCM ya kuibomoa CHADEMA ila washikandwa so kuna jipya tena la wao kulifanya? Wageuze hicho chama chao kiwe cha kulelea watoto yatima.
 
wako makwapani mwa CCM wamekula roba!

au

Watakuwa wanavua Magamba! Teh!
 
Wameshakula KUBWA Zenji, hivyo wamesahau wanawapigania akina nani.
 
Tangia lini waliofunga ndoa jana wakaonekana kitaani,hamjui CUF ilishaolewa na CCM!?ni wajawazito sasa miezi miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…