JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Sawa mkuu ila Complex kama jina inaogopesha lakini Complex kama topic ni tamu sana. Kumbe uliishia kwenye Maclaurian series, haina mbaya mkuu, pamoja sana.
Kweli mkuu, ila nilikuwa natisha, hata mwalimu wangu wa namba aliposikia nimechupuka alisikitika sana, aliona kama Taifa limepoteza, niligundua watu wanaotesa hapa mjini ni wanaosoma fani rahisi rahisi, mtu kasoma HR ndo anaamua hatima yako kazini, nikaona upumbavu gani huu wa mimi kuumiza kichwa nakesha nahangaika, nikachepukia kurahisi nikawa nasoma ratiba ya mitihani ikitoka na siku zingine nakula bata tu na sikuwahi kukamatwa.