Where can I publish my new mathematical invention (complex no.)

armi

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
140
Reaction score
26
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz

(Swahili mathematician)

.made in mby city.
 
Tuwekee kwanza tuzione kamani mpya au la. serious utapata msaada
 
Muone au mtafute Dr Mahela yuko university of Dar es salaam. nadhani atakusaidia
 
Tafuta haki miliki take COSOTA then ufikirie Ku publish
 
Muone au mtafute Dr Mahela yuko university of Dar es salaam. nadhani atakusaidia

Dr. Charles Wilson Mahela muda mwingi hakai sana nchini labda amuone Dr. Ruge, Dr. Kakiko, Dr. Alphonce, au vijana kama Mr. Sima, Mr. Mwanzalima, na wengineo.
 
Mtafute Prof Geofrey Mmari anaweza kukusaidia.
 
Google jambo husika utaona institution husika
Pia kuna myu kakushauri upate haki miliki...
Nachoweza shauri pia ni kuwa make sure hao uliotajiwa uwaone kwa msaada unawasainisha none-disclosure agreement ,kwa hiyo uwe na mwanasheria ...vinginevyo wanaweza sema ni uvumbuzi wao na hauna ushahidi kama ni wako sio wao kisheriana inaweza kuwa wana credibility kubwa kushinda wewe so rahisi kushinda.

Mwisho unauhakika kuwa ni uvumbuzi mpya? na umefuatiliaje kuthibithisha hilo?
 
Ushauri mzuri sana huu maana hawa wasomi wetu wa hapa nchini ni wataalam pia wa kutumia ugunduzi wa wengine ktk kujipaisha na kujipa ujiko.
 
Uvumbuzi mpya au ni solution mpya wakati unakata nyanga za Complex?
 
Mkuu,

Nenda kwenye vyuo vikuu department of math naamini utasaidiwa. Kumbuka kutafuta haki miliki kama unaamini na inaelekea kazi yako ni legit

Pia fanya uchunguzi zaidi angalia mitandaoni kama kweli hizo ni new math discovery. Isije kuwa ni njia zitumiwazo na watu wa level mbele ya ulipo wewe umejua bila kufundishwa ukahisi ni mpya kabisa. Na yahitaji uchunguzi wa kina wa jopo la wataalam kujua kama kweli njia zako ni sahihi kwa kila swali kwenye eneo husika. Mfano aliegundua "L'Hôpital's rule" in calculus (wana mahesaabu wanaelewa), alidhani rule yake ni applicable kwa kila swali in finding the limits hadi ilipokuwa proved wrong by mathematicians wengine, lakini bado njia yake inafundishwa na kutumika kusolve baadhi ya maswali. I don't mean to discourage you though. Best of luck mwanamahesabu mwenzangu form hometown MBEYA
 
Mzee umetoa maelezo mazuri tena yenye msaada mkubwa, mleta mada apite hapa na kuzingatia.
 
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz

(Swahili mathematician)

.made in mby city.

umenikumbusha mbali sana mkuu, mambo ya i. Vinginevyo wadau wametoa ushauri wa kutosha.
 
Mkuu hii anga ni pana sana, mimi amenirejesha kwenye mambo ya Residue na Contour Integral aisee hatari tupu na kichwa lazima kichemke kwelikweli.
 
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz

(Swahili mathematician)

.made in mby city.

Dawa ni uchapishe tu kitabu upate copy right halafu ki-fanyie marketing haraka na kwa nguvu mno KIUZIKE CHAP CHAP.Hicho kitabu kikionekane kina vitu serious ni rahisi kupata wafadhili wa kuchapisha nakala nyingi na pia wewe kujulikana na kuweza kualikwa makongamano na mavyuo mbali mbali NDANI NA NJE YA NCHI kutoa maada kuhusu huo ugunduzi wako kwa kulipiwa maticket na maposho kibao kwa presentations zako.
 
Dr. Charles Wilson Mahela muda mwingi hakai sana nchini labda amuone Dr. Ruge, Dr. Kakiko, Dr. Alphonce, au vijana kama Mr. Sima, Mr. Mwanzalima, na wengineo.

Hahaaaaaa Dr kakiko noma. Dah
 
Mkuu hii anga ni pana sana, mimi amenirejesha kwenye mambo ya Residue na Contour Integral aisee hatari tupu na kichwa lazima kichemke kwelikweli.

Mkuu mimi sikufika huko, niliishia njiani, ila hiyo kitu ilikuwa tamu, sema mgawanyiko wa majukumu tu nikaamua kuchepukia fani nyingine.
 
Sawa mkuu ila Complex kama jina inaogopesha lakini Complex kama topic ni tamu sana. Kumbe uliishia kwenye Maclaurian series, haina mbaya mkuu, pamoja sana.
 
Back
Top Bottom