Where are you?

Hivi na ile midevu ya babu Bishanga mtu anaizoeaje jamani.. Loh.. Mapenzi bana..
 
Last edited by a moderator:
Hivi na ile midevu ya babu Bishanga mtu anaizoeaje jamani.. Loh.. Mapenzi bana..
 
Last edited by a moderator:
Absolutely YES!
Under this Planet there is NO one who avoid curiosity or desire! Of someone.
My wills to you is :-
If symptoms persissit seek medical advice or consult Babu/Bibi.
 
Leo Bishanga ka-post uzi MMU kwamba ana nyumba gari zuri na mihela lakini mke wake anamsumbua kifupi ni kimeo wivu kibao.....................Kwa hiyo kuna wengine wameona fursa na wanaitumia.......na si jambo baya!
 
Last edited by a moderator:
kunako babuu raha yake hiyo

Naomba niage ku'step aside, kunako Uzi naona kwa mbaaali nimeanza kupapaswa mgongoni , so far tha's a signs tunda-kisosini natengewa soon! Yaani "laa-mpaa-looni "
chaoo!
 
Naomba niage ku'step aside, kunako Uzi naona kwa mbaaali nimeanza kupapaswa mgongoni , so far tha's a signs tunda-kisosini natengewa soon! Yaani "laa-mpaa-looni "
chaoo!

bestwishes kwenye ku do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…