When you know nothing about your country

When you know nothing about your country

Acha ujuha wewe! Kigezo cha kwenda mahali au kutokwenda hakihusiani na ukweli kwamba kavurunda na WH walijaribu kutaka kuficha alivyobofoa lakini hawakuwahi. Naona shule kama ulipita ulisomea ujuha wa kupinga kitu hata kama huna hoja zozote zile zenye nguvu. Unapinga for the sake ya kupinga tu ili kuonyesha jinsi ulivyo mpumbavu.
Sasa Trump alienda Poerto Rico kama nani?,Au alinda picnic?.Na kama hajui kwamba ile territory inamuhusu,Kwa nini ali aprove billions of taxpayers kwenda kuwasaidia wa Poerto Rico?,na yeye ku visit kabisa ka kupewa heshma kama rais?.
Halafu vile vile,kwani ile hotuba ya saa nzima,hakuongea chochote kizuri kwa wamarekani zaidi ya iyo sentensi moja?.Ili kujua kama Trump yupo sahih au laa,Hayo maswali hapo juu huwezi kuyaepuka kwa namna yoyoye ile.
 
U.S.
PRESIDENT TRUMP DOESN’T KNOW HE’S THE PRESIDENT OF THE U.S. VIRGIN ISLANDS
BY JOHN HALTIWANGER ON 10/13/17 AT 11:45 AM

UPDATED--Is President Donald Trump aware residents of the U.S. Virgin Islands are, in fact, Americans? It's unclear.

In a speech Friday, Trump said he'd recently "met with the president of the Virgin Islands" to discuss the recent hurricanes that have devastated Texas, Florida, Puerto Rico and the island.

But Trump could not have spoken to the "president of the Virgin Islands" because, of course, he is the president of the U.S. Virgin Islands, whose residents are U.S. citizens.
Atakua alishawahi kuugua mtindio wa ubongo enz za utoto wake[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Trump anajua anachokifanya...sema nimtu anayechomekaga utani wamakusudi sana ktk speech zake..

Ukitaka KUJUA jamaa ni Na IQ kubwa ,,, kasome Speech yake yakwanza ndani ya bunge!!! Wale ma senate kila mmoja alibaki na mshangao wautamu Wa ile speech.
Walimwandalia watalaam ....hata kama analiongezea nyama kidogo....c uliona hata ya Mkulu kule Zenj ilikuwa na ahuen japo ikuwa na uongo mwing kulko zle anazochapiaga yeye?
 
trump ni machine nyingine ile, hababaishwi na fake news
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom